Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol......dodoma tunaipatia tu wajir town bila pressure.Mombasa nayo in reality might even be bigger than Daresalaam town
Haya leta hio wajir tuone πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Changamka sasa

Hii ndio wajirπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hehehehe
Sijapata ona uchafu kama huu
 
Brt inajengwa kwa phase sasa hvi wanaanza kujenga phase two na three kwa pamoja
 
Malindi ni upuuzi gani??? Hvi wewe umeisahau zanzibar unakumbuka ulivoingia jamii forum mara ya kwanza ulikutana na nn na ukazungumza nn hahahhaah ama kweli wakenya munakazi kweli kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Narudia hakuna mji wowotw east and central africa unaeza kaa meza moja na zanzibar kwenye hotels na kama yupo anaeibisha niko tayar kuanza nae
 
ila wewe hua nasoma comment zako nacheka sana yani sijapata kuona mtu bogus mwenye mawazo finyu kama wewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mm nilishakwambia dar hakuna udongo mwekundu never na huwez pata sehem ina udongo mwekundu tafuta ulikoitoaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kukataa kwenu ni shida yako.
 
Kijiji kimejaa ufukara namna hii halafu mtu anafananisha na mji wa Kisasa Kama Dodoma,

Wajir city, Kenya.
Kenya = Poverty!
 

Attachments

  • IMG_20180319_092753_123.JPG
    80.1 KB · Views: 33
  • IMG_20180319_093336_987.JPG
    78.1 KB · Views: 36
  • IMG_20180319_092737_464.JPG
    101.2 KB · Views: 30
Wakenya mnapenda sana kufanya vitu vya hasara wengi humu kila mkiongea mna taja light rail! Ili mradi muonekane tofauti na Dar, Hiyo light rail mtasubiri sana. Its long short na ambavyo hamkopesheki na GoK haina kitu mtabaki kupiga domo tu.
Wakenya mnapenda sana kufanya vitu vya hasara wengi humu kila mkiongea mna taja light rail! Ili mradi muonekane tofauti na Dar, Hiyo light rail mtasubiri sana. Its long short na ambavyo hamkopesheki na GoK haina kitu mtabaki kupiga domo tu. Someni hiyo mistari ya kati kwenda chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…