yani huwez amini juzi gorofa sita leo tena gorofa nne hvi serekali iko wapi hio elimu wanayojidai humu inasaidia nn😀😀😀😀😀😀😀 haiwezekan watu wakae serekalini bila kuwajibishwatukiwambia waache kujenga nyumba kwa kutumia mawe hawataki.
halafu building contractors and civil engineers wa nchi ya kenya huko shule wanaenda kusomea ujinga?. kila mwaka lazima majengo yaporomoke.
Lazima wajinyeee na Gari Moshi lao. Mamaeeee
Tanzania iko mbioni kung'ara kama SA
Kitu GauTrain kuanzia Or Tambo International AirportView attachment 717237View attachment 717238View attachment 717239
huo u-generous mngeanza kwanza kuonyeshana wenyewe kwa wenyewe hasahasa wakikuyu na wanajaruo.Wanakuja kuomba Wakenya cause we are rich than you folks ,and more so generous to give out to the poor and needy especially from the south.
hehehe umegeuza kibao sasa naona kisu kimekuingia sawasawa😀😀😀😀😀
huo u-generous mngeanza kwanza kuonyeshana wenyewe kwa wenyewe hasahasa wakikuyu na wanajaruo.
kuonyesha u-generous kwa ombaomba wa kitz ilhali wenyewe kwa wenyewe hampendani ni ujinga wa kiwango cha juu sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ameua na nini??? 😀😀😀😀😀
Kutopendana hakuondoi u-generous ,,,ukwali ni kwamba mnatuomba mapeni kutwa-kucha hilo huwezi libadili.
sawa mke wangu, asante kwa kunishauri. nahaidi nitatekeleza ushauri wako. [emoji23] [emoji23]acha denial, kakikimbie for 30 minutes utengeneze mwili
Hii ipo wapView attachment 717462View attachment 717464Mall glazing finally arrived
Hii ipo wap
Nyang'au hupenda aibu ndogo ndogo sanaAcheni UCHAFU Budaaaaa View attachment 717543[emoji116]
Bongo ndani ya miaka 5 inayokuja sio hii tunaoijuaView attachment 717462View attachment 717464Mall glazing finally arrived
Waoweni au hamuna pesa ya kuoa 😀😀Uhahaha,kibao kipi wakati ombaomba wa kwenu yuatafuta mkenya angalau aishi maisha mazuri ,,,,,,,,,Kenya ni raha aise ....bahari tamu sichungu,,,,mje nyote tutawaoa tu Mali zipo.