Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwanini asimlete Tanzania..nyinyi kweli LDC

wee kilaza, rick ross alishafika tanzania mwaka 2012.hatumuhitaji tena...anamleta huko kwenyu kwasababu nyinyi ni washamba na anajua mta attend wengi kwa event.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
haha jamaa anatoa album Kenya instead ya tz..LDC ni lldc
 
Reli inaishia pale kwa corner behind that man with a bag...tena kwani reli inajengwa na mchina ama ni ile sample ya Mchina??
endelea na kilio hatujamaliza hata mwaka toka ujenzi umeanzaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yenu hio old fashion of 50 yrs ago mlijenga 3 and ahalf yrs ukumbuke hvoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
"BY THE GOVERNMENT" YANI NI SERIKALI TU NDIO KUJENGA
investor anakuja so ulitaka akutane na kenyatta kabla ya serekali???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

serekali ndio inaruhusa ya kumpa investor kibali na sio vinginevyoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
investor anakuja so ulitaka akutane na kenyatta kabla ya serekali???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

serekali ndio inaruhusa ya kumpa investor kibali na sio vinginevyoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
goverment inajenga kila kitu kwani nyinyi ni viwete
 
endelea na kilio hatujamaliza hata mwaka toka ujenzi umeanzaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yenu hio old fashion of 50 yrs ago mlijenga 3 and ahalf yrs ukumbuke hvoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
haha sasa electric train hadi dododma na dodoma yenyewe inakaa refugee camp
 
haha poor you diamond amebuy shamba ngong anasema kununua shamba kenya tz ni very big achievement
safi sana na hongera kwa diamond kununua shamba kenya.

ni fahari sana kwa mtanzania kumiliki ardhi katika nchi ambayo majority of citizens are landless.
viva tanzania. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
haha sasa electric train hadi dododma na dodoma yenyewe inakaa refugee camp
dodoma huiwezi wewe tena inajengwa usiku na mchana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

modern electric train in africaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
ulitaka ajenge kris kirubi....we kweli kilaza. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yani hawa ndio maana hawana masikini wakutupwa yani inamaana serekali kazi yake nnπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
safi sana na hongera kwa diamond kununua shamba kenya.

ni fahari sana kwa mtanzania kumiliki ardhi katika nchi ambayo majority of citizens are landless.
viva tanzania. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
haha landless ni wewe..land hapo niya serikali..no Tanzanian owns land
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…