Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa kujipa shughuli tuu, hamjambo aisee

Kwahiyo ukaenda kufukua makaburi wee, naona roho yako sasa kwatuuu

Unayap yap nini sasa wewe. Give three reasons why anyone who knows what a least developed country is should compare it to a middle income country. The fact that you are building a few nice infrastructures does not mean you are now suddenly Kenya's mates. You need decades of sustained development just to convince anybody that you are worth listening to. The LDC status is reviewed every three years and the WB has not found you worth of upgrading. There was a documentary on Tanzania's slums on DW a few weeks ago and the poverty levels was astonishing. Sasa the worst part ni uzembe yenye ilikuwa inaonekana kwa miili za hao watu. You just feel there is no way they can get themselves out of poverty unless through becoming musicians. No creativity, poor education, nothing!
 
Another 3 years ya kuwaponda na LDC
 
Sio tu Tandale ndiko kuna shida ya mpangilio wa nyumba. Hili ni tatizo ambalo liko katika estates zote za Dar. Most estates za Dar hazina mpangilio sahihi na nyumba nyingi katika mitaa zenu hazipendezi. Sorry to say this ila hiyo ndo ukweli. Sio lazima mjenge apartments jinsi tunavofanya huku Nairobi. You can just build hizo nyumba za chini lakini bora kuwe na mpangilio na hizo nyumba ziwe za kupendeza. Ill give you an example. Johannesburg pia haina mtindo wa apartments ila ukitafuta images za mitaa za jozi na aina ya nyumba zinazopatika kule, hata nairobi haina usemi mbele ya Jozi in matters estates. Yafaa mpange mitaa zenu yawe sawa ila kwa sasa, mtakubali tu kwamba Nairobi is way ahead of Dar when it comes to city planning and good estate planning.
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
comrades and enemies i hope you do remember the post above i posted last year early september.

i attached photos that were showing a project that was taking place at kijichi-dar es salaam. the project among other things is focusing on dar es salaam metropolitan.
you can revisit my last post if you need to connect the story.

well, the good news is the project is 100% finished and plans for the inauguration ceremony are underway. soon president magufuli or his subordinate is expected to inaugurate it.

hapa kazi tu,viva tanzania.
mambo yanaenda kwa speed ya jet. porojo tumewaachaia wakenya.

here is the current view. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122]
 
porojo ya kiwango cha heavyweight. [emoji23] [emoji23]
 
Forget about rwanda congo and burundi hio dream toa kwenye akili yako nyie lieni na uganda na tuta deal na uganda vzr mpaka tuhakikishe hio sgr inageuka tembo mweupe kwasababu tushamalizana na rwanda na burundi bado uganda so keep in touch 😀😀😀
 
Hiyo bado ni dar ama ni kijijini kule morogoro?
 
wallah google earth haitaki ujinga.
nilipo jaribu ku-search keyword ya "dar es salaam slum" kwenye search bar ya google earth, imeniletea location moja tu.

lacation yenyewe ni jengo la bin slum plaza, hili ni jengo la ghorafa zaidi ya sita linalopatikana kariakoo CBD.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


and when i did the same thing for nairobi by using a keyword "nairobi slum", the result was amazing.
see it for yourself[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
point
 
This kikuyu is unknowingly trying to ask why people are more equal in Tanzania.

He is wondering why Tanzania doesn't have kiberas next to Karens 🙂
Kama mko equal mbona kuna mitaa kama oysterbay and the likes mahali wenye mihela wanaishi? Tumia akili kufikiria
 
We. Nyamba 2....na diamond lkn......wasaniii wenu wote kwenu hawawezi survive bila Kenya..... Na I have never seen Kenya musicians.... Shooting a video n tz lk tz does
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…