Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
- Thread starter
- #8,141
Achana nao tuliwaambia twende step by step haataki wanakbilia ku post picha zile zile walizo post zamani. Mimi huwa spendi kurudia rudia vitu maana tunawakosesha watu wengi information.wameanza ku-repost picha za majengo ya mitaa ile ile ya kenyatta/moi avenue,tom mboya na koinange street.dar is too big for you asshole nairobians.you can't get enough of it.
Nacheka kwa dharau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimewataka twende kwenye maeneo ya starehe wamekimbia. Nikawaambia estate wamekimbia.
Tukianza kuwafutisha tutaonekana na sisi wajinga. Thread inajieleza kabisa. Ni mwenda step by step.
Tumewaambia twende majengo yenye ghorofa more than 20 wamekimbia.
Wajanja wengi wa kenya wamekimbia wanajua hii battle itawaaibisha. Sasa hivi waache wajifurahishe.
Kesho nitaanza kutupia local markets available in Dar. Nitaanzia tandika, Mahakama ya ndizi, vingunguti, Mwenge nk. Waache waondoe machungu kidogo. Si unajua hawa ni wadogo zetu!!