Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ upumbavu wako ni ya kimaajabu. denial is your motto, unaitisha evidence nakupa unaitisha mengine, hata nikileta puia utakataa... huo mchezo wa vuta nikuvute siwezaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kila picha ya Kibera inayoletwa hapa inaonyesha ushahidi wa maandishi kuonyesha hapo ni Kibera, ninyi hizi za Dar ushahidi upo wapi kuonyesha hapo ni Dar?, tunaoijua Dar, hizo picha sio za Dar, kama unaushahidi wowote tuletee, vinginevyo hiyo ni dalili ya kushindwa mnatumia picha za nchi zingine ili kuiokoa Nairobi.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
mabwawa saba daresaalam


mabwawa saba google maps

 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ i dont have to prove but it seems you need it so bad labda itakufurahisha so pewa


View attachment 713552 View attachment 713554
Yani ulivo huna akili mabawa kwenye picha yako tano kwenye google yako 6 so unataka kulazmisha au hahahah buda tuliza akili huwez kulazmisha kitu ambacho sichoπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
My fren huoni hiyo ni slum?middle incomes wanakaaje hvyo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…