Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's kibera ni Nairobi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Middle incomes estates in eastlands part of Nairobi showing parts of Buru Buru and Umoja estates. Tanzanians, these are the type of images we want from you. Sio picha za nyumba mija moja. Tuleteni picha za middle income estates like the ones above in Nairobi. Kazi kwenu
 
hzo ni appartments za watu wanakodisha tofautisha kati ya kukodisha na kumiliki hvo ni vitu viwili tofaut kaka usichanganye mada kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ushafika Dar? Waulize hata ndugu zako maanake tunakaa nao huku Kinondoni,Kijitonyama,Sinza...waulize wanakaa sehemu kama Kibera?
Si lazima niwaulize kwa sababu waneweza shikwa na aibu wasiniambie ukweli kuhusu sehemu wanazoishi. Nilichofanya ni kuuliza google earth ambayo katwe najua haitanidanganya liwe liwalo
 
Tuseme tuu ukweli, hatuna estates (dormitories) kubwa kwa middle income earners kama hizo though zipo lakini kwa uchache sana

Ila place au nyumba waishio hao wa kuitwa middle income ni bora zaidi ya hizo dormitories zenu

Wengi wa vipato hivyo huishi kwenye apartment na nyumba zao binafsi
 
yani hajui kutofautisha kati ya mtu kumiliki nyumba na kukodisha appartmentsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hzo ni appartments za watu wanakodisha tofautisha kati ya kukodisha na kumiliki hvo ni vitu viwili tofaut kaka usichanganye mada kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unahitaji information zaidi ya picha za google.
Brt imepita morogoro road. Sehemu zote along morogoro road ni planned, ila ni high density, kwahio ukipiga aerial photo lazima utaona nyumba zimebanana.
 
duhh sijui GDP kazi yake ni nini????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unahitaji information zaidi ya picha za google.
Brt imepita morogoro road. Sehemu zote along morogoro road ni planned, ila ni high density, kwahio ukipiga aerial photo lazima utaona nyumba zimebanana.
naona geography ilimpiga chengaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Endelea kuishi kwa mazoea.

Nairobi haijendelea kuishinda dar,hili ndilo tunaagiza mthibitishe tokea page one.afadhali useme ni mji muhimu maana umepata kuendelea muda mrefu kuizidi dar ya juzi juzi.
 
hzo ni appartments za watu wanakodisha tofautisha kati ya kukodisha na kumiliki hvo ni vitu viwili tofaut kaka usichanganye mada kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunajua Dar mnamiliki "dream houses" with hot jacxuzis as seen un Google earth images. my brother, Google eart never lies. Unaeza nidanganya hapa jf lakini Google earth haiwezi
 
Tunajua Dar mnamiliki "dream houses" with hot jacxuzis as seen un Google earth images. my brother, Google eart never lies. Unaeza nidanganya hapa jf lakini Google earth haiwezi
ushaelezwa tofautisha mtu kumiliki nyumba na kukodisha appartments na wakenya wengi mumekodisha hamuna ardhi ya kujenga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Endelea kuishi kwa mazoea.

Nairobi haijendelea kuishinda dar,hili ndilo tunaagiza mthibitishe tokea page one.afadhali useme ni mji muhimu maana umepata kuendelea muda mrefu kuizidi dar ya juzi juzi.
Ni mandeleo gani Dar inazidia Nairobi? hebu taja hata moja
 
ushaelezwa tofautisha mtu kumiliki nyumba na kukodisha appartments na wakenya wengi mumekodisha hamuna ardhi ya kujenga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Endeleeni kumiliki shacks ndani ya jiji. sisi tunapangisha nairobi na runamiliki nyumba makwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…