Nani alikwambia kwamba nairobi kuna viwanda cbd? When it comes to planning, Dar ni mtoto sana kwa Nairobi. najua pengine hujawahi fika nairobi but the city has a special industrial zone far from the cbd called Indutrial Area, the biggest in east and central Africa. Pale kuna mamia kwa mamia ya viwanda. Fika Nairobi siku moja nikutembeze industrial areaHamna kiwanda cbd.na majengo mengi yanajengwa pembeni kabisa ya mji.
Si unajua sisi huwa tunatumia akili vizuri kuliko watu kama wakenya.
Naona wewe mkikuyu unawadanganya wakenya wenzio wasije kushitukia kuwa wakikuyu wameikwamisha Kenya Kwa ufisadi??Tz bado ni ile ile ya 90s
Usituletee picha za nyumba moja moja. Tunataka kuona aerial photos za hizo mitaa. Just make sure zisiwe za beach estates coz tunajua huko ni kwa mabwenyenye wa dar. Tunataka middle inacome estates. Kazi kwakoUnataka kuona nyumba za middle na upper income???una moyo lakini usije anza kulia hapo ulipo??
Here comes brt photo again!Second phase
View attachment 713232
Dar is just a mistake......planning is a mirageNani alikwambia kwamba nairobi kuna viwanda cbd? When it comes to planning, Dar ni mtoto sana kwa Nairobi. najua pengine hujawahi fika nairobi but the city has a special industrial zone far from the cbd called Indutrial Area, the biggest in east and central Africa. Pale kuna mamia kwa mamia ya viwanda. Fika Nairobi siku moja nikutembeze industrial area
Nani kasema nairobi kuna viwanda cbd??embu soma kwanza nilichoandika.kama hujui industrial zone iko dara pia.hoja yangu ilikuwa sio kurundikana hapo CBD hata kama bei ya ardhi ni juu.ndio maana kamji ni kadogo sana.Nani alikwambia kwamba nairobi kuna viwanda cbd? When it comes to planning, Dar ni mtoto sana kwa Nairobi. najua pengine hujawahi fika nairobi but the city has a special industrial zone far from the cbd called Indutrial Area, the biggest in east and central Africa. Pale kuna mamia kwa mamia ya viwanda. Fika Nairobi siku moja nikutembeze industrial area
90% of Dar looks that way.....lakini porojo hapa jf ndio waoNo, that's Dar, mate. The city they spend sleepless nights to compare with Nairobi, the most important city in this region! hata hawana haya
In short hauijui Dar vilivyo, hata kama Dar iko unplanned kiasi gani huwezi ukashindwa kutofautisha sehemu za High, Middle, Normal na Lower income earner'sAlafu mbona Dar ni vigumu sana kutofautisha slums na middle income or high income areas? Dar es salaam mitaa zote zinafanana shilinginkwa ya pili halafu hazina mpangilio jinsi hiyo picha unavyodhihirisha. Ukiingia google earth utaona nyumba za mabati zilizotapakaa kila mahali bila mpangilio wowote. Ndio maana siku zote tunaita huu mji wenu slum city
Weka babaa mbona unachelewa?Unataka kuona nyumba za middle na upper income???una moyo lakini usije anza kulia hapo ulipo??
Weka suburbs za dar tofauti na hizi na upunguze longolongo nyingi.In short hauijui Dar vilivyo, hata kama Dar iko unplanned kiasi gani huwezi ukashindwa kutofautisha sehemu za High, Middle, Normal na Lower income earner's
Of course areal view itakupa taswira ambayo sio nzuri yaan hutoweza kutofautisha sehem tajwa hapo juu
Uzuri wa Dar ni kwamba kila sehem za makazi sina status zake huwezi kwenda Tabata ambako ni Middle Income earners ukakuta kuna uswazi( Lower income ) NEVER
......
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza
Wakikuyu ndio wameifanya Tz kuwa LDC?Naona wewe mkikuyu unawadanganya wakenya wenzio wasije kushitukia kuwa wakikuyu wameikwamisha Kenya Kwa ufisadi??
Sisi watz tunataka kuwa zindua wakenya kuusu upotoshaji wa wakikuyu kuusu maendeleo ya kenya
Tuliza kitambi.Weka babaa mbona unachelewa?
90% of Dar looks that way.....lakini porojo hapa jf ndio wao
Wakikuyu ndio wameifanya Tz kuwa LDC?
Hatukatai Nairobi ni ndogo kwa Dar jinsi New York pia ni ndogo kwa Dar kiukubwa. Nadhani umepata nilichodhamiria hapoNani kasema nairobi kuna viwanda cbd??embu soma kwanza nilichoandika.kama hujui industrial zone iko dara pia.hoja yangu ilikuwa sio kurundikana hapo CBD hata kama bei ya ardhi ni juu.ndio maana kamji ni kadogo sana.
Halafu sijawahi kuja nai,but sioni kama kuna kinachoweza kunileta huko labda kwa kazi ya kutumwa.
Dar is just a mistake......planning is a mirage