Nihamishe goki iweje??nakupa fakti kijana.mbona unabadilisha goli? we were talking about Nairobi, ardhi kwingineko kenya ni story ya siku ingine. Ila naamini kwamba ujumbe umepokea. bei ya ardhi iko juu Nairobi coz it's a competitive city given its significance in this region and Africa as a whole
Kando ya hapo slums zinaonekana tayari na tukiwambia kuwa Dar/tz ni slum prone country mnatokwa povu...hebu cheki rusty iron sheets hapo kwa huo upuzi umepost.
Ndio wanajenga yani 2020 ndio wanakamilisha na sisi 2020 tunakamilisha phase Zote mbili alaf sasa tuchuane vzr magu anaakili sana😀😀
Ya Kenya inatoka from NairobiYakwao itatoka Nairobi hadi wapi??
😀😀😀utaorodhesha sana safari hii
Hahaa
Utasema
-Electric Train
-BRT phase 2
-JNIA T3
-Ubungo Interchange
-Tazara Flyover
-Kimara * Kibaha Superhighway
They are coming for you bro. BRT is their pride...and an overrated brt that passes through slums aka dream houses
Slum kando hapo.😀😀Slum ipi au kila nyumba yenye mabati yenye kutu ni slum.
brother, hiyo ni Manzese place ambayo 90% ya waishio hapo ni Lower income heb elewa kwanza hiloA middle income estate in Dar is slum with the overrated brt passing through. These are images they will never show you. Watakuletea picha ya brt next to those three blue towers in different angles a screaming caption of Miami!View attachment 713202
Mwasiti acha kelele, unaona upuuzi huo? mpaka hapo tushakujua we ni mtu wa aina gani 😀Kando ya hapo slums zinaonekana tayari na tukiwambia kuwa Dar/tz ni slum prone country mnatokwa povu...hebu cheki rusty iron sheets hapo kwa huo upuzi umepost.
Sasa unataka kampuni kama Genral motors ihame nairobi iende ijenge kiwanda garissa ama Kakamega juu ardhi ni gali Nairobi ama unajaribu kmaanisha nini? Ile fushing village yenu Dar haina viwanda au makampuni zilizilowekeza huko?Nihamishe goki iweje??nakupa fakti kijana.
Na ukweli unaujua ila sababu ni mchungu hutaki kumeza.kama ni rahisi hivyo makampuni nayo yangetoka nje ya jiji kukwepa gharama hizo za ardhi CBD.
Hapo ni Dar's best suburbs yani slums .brother, hiyo ni Manzese place ambayo 90% ya waishio hapo ni Lower income heb elewa kwanza hilo
Middle income zina sehem zake bana, ingia hata Wikipedia mbona wameorodhesha sehem zote ki status za watu kuanzia High, Middle, Normal na Lower Income
Sindano na povu.Mwasiti acha kelele, unaona upuuzi huo? mpaka hapo tushakujua we ni mtu wa aina gani 😀
Hapa ni Kampala?Mwasiti acha kelele, unaona upuuzi huo? mpaka hapo tushakujua we ni mtu wa aina gani 😀
Slum kando hapo.😀😀
Hamna kiwanda cbd.na majengo mengi yanajengwa pembeni kabisa ya mji.Sasa unataka kampuni kama Genral motors ihame nairobi iende ijenge kiwanda garissa ama Kakamega juu ardhi ni gali Nairobi ama unajaribu kmaanisha nini? Ile fushing village yenu Dar haina viwanda au makampuni zilizilowekeza huko?
hizo ni slums buda...kubali hali yako usaidike.Hiyo siyo slum hapo, ni nyumba ambayo bati limepigwa na mvuke wa bahari kwa siku nyingi na kutengeneza kutu.
Alafu mbona Dar ni vigumu sana kutofautisha slums na middle income or high income areas? Dar es salaam mitaa zote zinafanana shilinginkwa ya pili halafu hazina mpangilio jinsi hiyo picha unavyodhihirisha. Ukiingia google earth utaona nyumba za mabati zilizotapakaa kila mahali bila mpangilio wowote. Ndio maana siku zote tunaita huu mji wenu slum citybrother, hiyo ni Manzese place ambayo 90% ya waishio hapo ni Lower income heb elewa kwanza hilo
Middle income zina sehem zake bana, ingia hata Wikipedia mbona wameorodhesha sehem zote ki status za watu kuanzia High, Middle, Normal na Lower Income
No, that's Dar, mate. The city they spend sleepless nights to compare with Nairobi, the most important city in this region! hata hawana hayaHapa ni Kampala?
Unataka kuona nyumba za middle na upper income???una moyo lakini usije anza kulia hapo ulipo??Alafu mbona Dar ni vigumu sana kutofautisha slums na middle income or high income areas? Dar es salaam mitaa zote zinafanana shilinginkwa ya pili halafu hazina mpangilio jinsi hiyo picha unavyodhihirisha. Ukiingia google earth utaona nyumba za mabati zilizotapakaa kila mahali bila mpangilio wowote. Ndio maana siku zote tunaita huu mji wenu slum city