Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] unafurahia nairobi kuwa na ardhi bei juu,na unajiona uko timamu upstare.
Bei ya ardhi kuwa juu Nairobi ni kwa sababu haichezi ligi moja na Dar, which is a fishing village. Nairobi is the most important city in this region politically, socially and economically so there's no way you should expect price of land to cost the same thing it costs in your glorified village. Secondly, watu wako Nairobi kikazi, they have their homes upcountry.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole sana.

Hiyo ni kenya nzima si nairobi pekee,sababu sio uliyotaja ila ni sababu ardhi ya kenya ni mali ya watu binafsi wachache.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole sana.

Hiyo ni kenya nzima si nairobi pekee,sababu sio uliyotaja ila ni sababu ardhi ya kenya ni mali ya watu binafsi wachache.
mbona unabadilisha goli? we were talking about Nairobi, ardhi kwingineko kenya ni story ya siku ingine. Ila naamini kwamba ujumbe umepokea. bei ya ardhi iko juu Nairobi coz it's a competitive city given its significance in this region and Africa as a whole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…