Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

HAYA BASI
zz%202.jpg

MANZESE.JPG

IMG_9360.JPG

city_bus_town.jpg

BONUS KARIOKOO
1200px-The_close_view_of_the_Kariakoo_market_in_Dar_es_Salaam.JPG
A confused Slum City.
 
Hebu nionyeshe interchange inakaaje?nionyeshe hio ya ethiopia alafu naomba nipe jina ya hizi hapa
Ik8M2n3h.jpg

jKz7mLT.jpg

Cl0n8ThWQAAw_2l.jpg

Cl0s1_TWQAExR0c.jpg
Unawaumiza bana, such a project in Tz would elicit lots of emotional breakdown among s the citizenry
 
Hebu nionyeshe interchange inakaaje?nionyeshe hio ya ethiopia alafu naomba nipe jina ya hizi hapa
Ik8M2n3h.jpg

jKz7mLT.jpg

Cl0n8ThWQAAw_2l.jpg

Cl0s1_TWQAExR0c.jpg
Imeelezwa vizuri katika wikipedia, soma uweze kutofautisha kati ya interchange na flyover, usichanganye kama mnavyofanya sasa hivi, hiyo ya Tanzania sio interchange, na Kenya hakuna interchange, ile ya Ethiopia ipo you tube, na Ghana wanayo moja you tube.
 
Acha kuharibu jina la interchange wewe, hamjui interchange maana yake ni nini, ndiyo sababu mnasema hii ni interchange, Tanzania haina interchange, Kenya hakuna interchange, Ethiopia wanayo moja, sasa hivi Tanzania tunajenga moja, itakuwa ni interchange ya pili katika ukanda wote huu wa East and central Africa.
welcome to nairobi
9247453814_53c5965b18_b.jpg

9247451742_c2fd36014d_b-jpg.545926

9247450740_105262e7a2_b.jpg

Cqt_dviXgAAQV2r.jpg

473785

14145343_1575796279383013_41537036_n.jpg

14360214_1112789232144440_1129842052_n.jpg

X1yQFJm.jpg

maxresdefault.jpg
 
Imeelezwa vizuri katika wikipedia, soma uweze kutofautisha kati ya interchange na flyover, usichanganye kama mnavyofanya sasa hivi, hiyo ya Tanzania sio interchange, na Kenya hakuna interchange, ile ya Ethiopia ipo you tube, na Ghana wanayo moja you tube.
😀😀😀 una picha ya hio ya ethiopia ama maneno tu,
kama hauna basi tuma renders za hio inataka "kujengwa" tanzania
 
I will tell you that its one hell of a joke...Tz being an LDC will get such I mean you've surpassed your peers with a mega project at LDC'S STANDARDS. Mmewashinda kina Afganistan, Malawi, Uganda but that does not mean you are above Kenya,SA or Nigeria😛😛..kudos anyway if that will make you sleep.
Jobless leo umeingiza shillingi ngapi??
 
Imeelezwa vizuri katika wikipedia, soma uweze kutofautisha kati ya interchange na flyover, usichanganye kama mnavyofanya sasa hivi, hiyo ya Tanzania sio interchange, na Kenya hakuna interchange, ile ya Ethiopia ipo you tube, na Ghana wanayo moja you tube.
as i expected, nio kuropokwa tu. hata hujui maana ya interchange lol
ukikuja nairobi unafaa kuchunga sana kama utakuwa una drive maana interchange itakuchanganu=ya kwelikweli
9247454434_b15c0700e9_b.jpg

9247453814_53c5965b18_b-jpg.526062
 
lazima tutaheshimiana tu...na bado Kigali-Isaka hapo October. Na pia bado phase III na Phase four na five (Makutupora-Tabora, Tabora-Isaka na Isaka-Mwanza.
 
Attachments

  • DYFJzbtX0AAzg5i.jpg
    DYFJzbtX0AAzg5i.jpg
    100 KB · Views: 39
  • DYBF5dVXcAA9HOl.jpg
    DYBF5dVXcAA9HOl.jpg
    79.9 KB · Views: 25
  • DYFJvClXkAAYz1C.jpg
    DYFJvClXkAAYz1C.jpg
    126.3 KB · Views: 28
Back
Top Bottom