hii ni true story...ukifika Kenya ukaagiza chakula mf wali na nyama utalipia kivyake ukitaka mboga Za majani utalipia 20ksh ukitaka kachumbari utalipia tena 20ksh sasa hawa nyumbu wakija Tanzania wakaagiza wali saving yake wataenda hadithia ukoo wao. ..watapewa chakula hadi walie machozi...Kenya hawana value for money kabisa ni kanchi ka hovyo kabisa waje kubishaCbd ikose watu vipi wakati unemployment ipo juu. Majobless lazima waende cbd kuzurura.
Hawa ndungu jetu ..huwa wanamastore sizielewangi.... Hahahaa.. Sema they are my real friends.. And some of them are real.. Sio fake kama hawa Wa humu.Kaka nmecheka kwa nguvu apa kama mjinga[emoji23][emoji23]
View attachment 711196East Upanga,picha ya mwaka 2005...no filter
Kaqaida yao watakataa hiyo si Dar while you can clearly see the overrated brt passing through slums
Kawaida yao watakataa hiyo si Dar while you can clearly see the overrated brt passing through slums
aminia, so Hawa jamaa ndio wanazingua huwezi fika nbo ukabamiza misosi mizuri kama ukiwa dar never...Mji mzuri lazima upate vyakula ule unywe you enjoy....Nimeshasema nikichukua likizo ntaaarange nifike nbo but wala sitengenezi sana hamu maana mengi yashasemwa na kuonekanaUmenikuna sana
hii ni true story...ukifika Kenya ukaagiza chakula mf wali na nyama utalipia kivyake ukitaka mboga Za majani utalipia 20ksh ukitaka kachumbari utalipia tena 20ksh sasa hawa nyumbu wakija Tanzania wakaagiza wali saving yake wataenda hadithia ukoo wao. ..watapewa chakula hadi walie machozi...Kenya hawana value for money kabisa ni kanchi ka hovyo kabisa waje kubisha
Dodoma linganisha na Kitale au Kericho
I can't get enough of this statement.. We have always been more African, more us, and ofcoz more genuinely successful &happy..
Kindondoni na ntakutaftia picha ya karibu ufunge bakuli
Kinondoni na ntakutaftia picha ya karibu ufunge bakuli
Nonesense interchangeany Tanzanian who knows Nairobi.....where does the left side of the interchange lead to...?....tick tock.....
View attachment 711737
Dodoma huwezi linganisha n ivyo vitongoji vyakoDodoma linganisha na Kitale au Kericho
Dar es salaam is 1393 sq km while New York is 789sq km. Stop comparing the giant (Dar) with that lil town (New York). I can see you are making a lot of senseIf you don't care why your ass is here?
Dar es salaam is 1,393 sq. Km while Nairobi is 696 sq. km stop comparing the giant with that tiny lil town of yours
Wacha nikuulize, Dodoma pia ni city? Nasikia huko bongolala mko na around 20 "cities"Dodoma huwezi linganisha n ivyo vitongoji vyako
Acha ushamba, that isn't an interchange, hilo ni Tuta,any Tanzanian who knows Nairobi.....where does the left side of the interchange lead to...?....tick tock.....
View attachment 711737
Unajitahidi kuhamisha goli lakini bado tunazamisha kama kawaa btw kama unadhan New York ndio jiji la mfano hujajua bado...Tokyo the biggest city all over the world is something to worry not even New York which comes 2nd after Tokyo...Dar es salaam is 1393 sq km while New York is 789sq km. Stop comparing the giant (Dar) with that lil town (New York). I can see you are making a lot of sense
[emoji1] Nashangaa hata tunafanya nn na hii battle.. Maana ukiwajua utaona walivyo na wivu mioyoni mwao.. They wish they were us.. If you are true to yourself and your way of life.. life becomes more fulfilling. I totally agree with you .