Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whaaa. Uzi umeingia aliens. Kidogo niseme nimejikuta kwenye jukwaa la siasa... hahahaha
 
ahaha hao nafikiri ni wale wanafatilia uzi kwa chinichini.
sure. wanakaribishwa. mchango wao utakuwa mzuri sana ila wasiandike insha ndefu ndefu zisizoeleweka kama Jiwe La Joto. Half of the time, huwa sijui anaandika nini
 
Asante magu na ethiopia na uganda
Wizi ndio laana walioachiwaπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…