COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
so wewe kwa akili yako tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya so unategemea index tutakaa sawasawa maana utumie akili tu sio nguvu na hapa wanaangalia networks of roadsCheki hata Togo na Guine bisau zipo juu yenu...shamba la bibi kweli
![]()
ushahidi unao au unajichukulia tu 😀😀😀😀😀😀😀
Mauritania ni kubwa kuliko Tz...come up with another excuse😀😀😀😀😀so wewe kwa akili yako tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya so unategemea index tutakaa sawasawa maana utumie akili tu sio nguvu na hapa wanaangalia networks of roads
with 3 million people unafkiri watapeleka barabara misituni wanaangalia mzunguko wa mikoa na barabara punguza upuuzi😀😀😀😀😀😀😀Mauritania ni kubwa kuliko Tz...come up with another excuse😀😀😀😀😀
middle class tanzaniamabanda ya nguruwe😀😀
![]()
Endelea kujidanganya..so wewe kwa akili yako tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya so unategemea index tutakaa sawasawa maana utumie akili tu sio nguvu na hapa wanaangalia networks of roads
Uzembe tuu 😛😛with 3 million people unafkiri watapeleka barabara misituni wanaangalia mzunguko wa mikoa na barabara punguza upuuzi😀😀😀😀😀😀😀