KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
we unajua stones let me show you😀😀😀😀😀😀
stone house
matofali ya kuchoma
haya sasa nieleze hii ni stone au matofali ya kuchoma hahaha we unafkiri sisi wapuuzi sana😀😀😀😀😀😀
hii nairobi hebu nieleze sasa nikuumbue leo mchana kweupe
mumekosa pesa ya kupaka rangi munasingizia stones
View attachment 703511
Most of our houses in Kenya are made of quarry stones. Inaonekana hujawahi fika Kenya buda.mwehu wewe wewe unajua stone house inavokaa😀😀😀😀
mwehu wewe wewe unajua stone house inavokaa😀😀😀😀
Tafuta Bundles babaa...leo hujalipwa na vibaraka wako ni kama kazi yako imeanza kudorora.https://www.facebook.com/Tafadhali sikiliza hii clip
Umeweza kuisikiliza hiyo video clip?Tafuta Bundles babaa...leo hujalipwa na vibaraka wako ni kama kazi yako imeanza kudorora.
Nakuru
Kwale County
Hakuna video clip ndio maana nakwambia utafute bundleUmeweza kuisikiliza hiyo video clip?
Umekwepa mambo ya maji? hapa ni buza SUBURB?
Hiyo kitu ni 100% local finance na siyo loan. Umejiaibisha bora unge uliza. Halafu hizo schemes zote unazo ziongelea bongo zinafanyika, hivi Magu anavyo jenga reli unazani pesa anaziokota from no where! acha nikuache, You guys just go ahead with China grade 1 loans [emoji13]You are always very late in everything! Before you even contemplated borrowing a loan to build this one, Kenya was doing away with it's toll stations for more efficient and integrated Fuel Levy scheme as a way of collecting/funding for road construction/maintenance.
Although they might be reintroduced on planned express highways,the toll gates will be under Public-Private Partnership (PPP). I wonder which scheme you fellows are using.
Angalia majambazi wamewaibia sare za jeshi wakafikiri wakija Tz watabaki salama.. All dead.. Tena na Police force.. Au nyie ndio mliwafadhili ili waje kuharibu amani,??? Too bad Tanzania forces are not of their size[emoji23][emoji23][emoji23]The Atrium-Laico Regency-Nairobi
hatutaki sifa za kijingaWalalas mbona huwa hamumsifii huyu mwanadada wenu mchagga Sarah Mirrabelli better known as Pinkyxxx? View attachment 703241
Essay on Water Scarcity in India (1113 Words)Hakuna video clip ndio maana nakwambia utafute bundle
Hawa walikuwa wanachota maziwa?Essay on Water Scarcity in India (1113 Words)
Lengo ni kukuonyesha kwamba, Kenya imefikia ukingoni, sio rahisi kuitetea hasa kutaka kuilinganisha na Tanzania, kama umefikia hatua ya kudanganya kwa kuweka picha za nchi nyingine ili kuidhalilisha Tanzania, hiyo ni dalili kwamba umeshindwa kulinganisha Kenya na Tanzania badala yake unaomba msaada toka nchi zingine, hiyo picha hapo juu uliyotoa India na kusema ni Tanzania inakuumbua, mpuuzi wewe kabisa.
Kila ukiweka picha weka ushahidi hapo ni Tanzania, wewe ni mtu mzushi hakuna atakayekuamini siku hizi, tumekuonyesha picha karibu zote unazoweka sio Tanzania, prove kama hii ni Tanzania, acha ujinga.Hawa walikuwa wanachota maziwa?
15 km imegeuka 40....loltena mbagala 40 km from CBD mbagala kijichi
😀😀😀😀😀😀😀