Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji3] [emoji3] [emoji3] aisee nimewakubali hao na nimewavulia kofia nimegundua kitu aisee wakenya wenzenu nj nowma sana na wana mbinu sana mpaka wanafikia hatua yakujifanya wabongo....

swafi kabisa kweli kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
 

Atleast Kenya yajulikana kwa mambo mengi kama uanariadha, Obama, Nairobi (among the top cities in Africa) ask any foreigner to name cities in Africa and Nairobi will be among them, the name Kenya itself is a brand abroad, hardly anyone doesnt know Kenya, Tea, etc. Sema kweli, nyinyi mnajulikana kwa nini? You are nobodies, foreign people would only mention Kilimanjaro or Serengeti which are natural resources when tanzania is mentioned but not any product you have made with your ingenuity.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aisee nimewakubali hao na nimewavulia kofia nimegundua kitu aisee wakenya wenzenu nj nowma sana na wana mbinu sana mpaka wanafikia hatua yakujifanya wabongo....

swafi kabisa kweli kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake

Kaka, hao ni wabongo na wanasema wenyewe pia Kiswahili chao. Na ni tabia mbaya sana kukana kaka ama dada yako eti kwa msingi kuwa ni maskini. That only happens in communist countries
 
Kaka, hao ni wabongo na wanasema wenyewe pia Kiswahili chao. Na ni tabia mbaya sana kukana kaka ama dada yako eti kwa msingi kuwa ni maskini. That only happens in communist countries
wafukuzeni.......... na msiwape chapaa


ila wakenya ni nowma sana[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 

Kongole kwa mliyofanikiwa haswa kwa utalii. Lakini nikwambie kwamba the reason USA became what it s today was because of uniting many states into one. East Africa would become very successful if we united hata kama tutabaki na uraia wetu lakini tuwe na uchumi mmoja. Ingewezekana hata iwe EA na SADC ziungane. Lakini mibongo kama nyie hamuelewi mambo kama haya sijui hamna economists ama vipi!
 
wafukuzeni.......... na msiwape chapaa


ila wakenya ni nowma sana[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Huwezi kuzuia wananchi kuwapa wanaoomba. Ingewezekana wangeachishwa ili begging isiwe business. But thats the society we live in 🙄, people are taught to give from an early age and though it helps, it also creates that other problem of professional begging.

Mbona wakenya ni nouma? 😛
 
duuh.... wewe utakuwa ni chapombe..... umeanza vizuri halafu umechanganya na pumba zako....
 
wapo wabongo wengi tu wanaofanya ishu zao nnje ya nchi sema huwa hawana time yakujianika na vile vile hata sisi huwa hatuna shobo za kuwafuatilia


 
unaambiwa kimya kimya..... hatunaga shobo zakushobokeana ovyo...... watanzania hata ukiwakuta nnje ya nchi haswa bara la ulaya huwa hawana mda wakurundikana pamoja kama nyie mikenya

 
nyie hamuombi ombi..... ni matajiri sana zaidi ya thamani ya migodi duniani.... na mnajulikana dunia nzima yaan kwenye ardhi mpaka mbingu.....
 
Unaona ulivyo mjinga, tulikua tunazungumzia Kenya kupendwa na beggars kwa sababu umesema "They know where money is", mimi ninakuambia Tanzania attracts investors not beggars, kwahiyo kati ya beggars na investors nani anayejua pesa ilipo, wewe umeona unashindwa, umeamua kurukia katika eneo ambalo hata huna uwelewa wowote huko, nikijo huko kwenye investments, na FDI nako nitakubana pumzi utarukia kwengine, stupid Kenyan.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Maneno ya mtu aliyekata tamaa haya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…