Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anayeropokwa kati yangu nawe ni nani? How do you call a street mtaa? kwa uelewa wangu, mtaa ni mahali watu wanaishi, kama pale tandale au mbagala. Hapa Nairobi, sijawahi sikia mtaa inaitwa river road
hoja ya river road ni mtaa au sio mtaa ni hoja ndogo sana.

nilidhani unakuja na hoja nzito ya kukanusha kuhusu uwepo wa kinyesi cha binadamu katika maeneo ya CBD.

kuacha kuzungumza kinyesi na kuzungumzia jina la barabara ni proof kwamba hoja yangu ya kinyesi kwa mitaa ya CBD ina 100% true.

NB
ni kweli river road sio mtaa ila ni barabara inayoanzia katika maungio ya ngariama road na kuishia maungio ya ronald ngala street. ila niliyo yashuhudia river road kuhusu mavi ya binadamu ni ukweli usio na shaka. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hoja ya slum itakuja fanya wakenya wajitoe uhai. it's something very critical.
 
wallah google earth haitaki ujinga.
nilipo jaribu ku-search keyword ya "dar es salaam slum" kwenye search bar ya google earth, imeniletea location moja tu.

lacation yenyewe ni jengo la bin slum plaza, hili ni jengo la ghorafa zaidi ya sita linalopatikana kariakoo CBD.
(inatamkwa bin slumu)
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


and when i did the same thing for nairobi by using a keyword "nairobi slum", the result was amazing.
see it for yourself[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
nimeielewa.... hii dah.... msikonde wakenya mtakuja kuziona nyasi.....

full kunyooosha manyang'au
 
wakenya wanamuomba moderator afunge thread. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

tulijua tuu hii battle lazima mngetangaza kushindwa. tumewapiga KO mpaka mmeanza kuokoteza picha za nchi zingine na kudai ni slum ya dar. smh.

tanzania oyeeeeeeeee. pongezi kwenu ma-comrade wote mlioshiriki katika battle hii. hakika tunahitaji kujipongeza kwa ushindi huu na kurejesha heshima ya tz miongoni mwa wakenya.

Moderator sasa ni ruksa kuifunga thread, tayari wapinzani wetu wameshatangaza kushindwa.

asanteni wote kwa uvumilivu wenu.mungu awabariki sana. sote tuseme amen/inshallah.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
kabisa ila huu uzi inabidi uwe endelevu
 
yes just declare yourselves winners......it's none of our concern.kila mtu akae kwao polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…