Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wapi?? nyie ndo mnapost picha ya jengo moja na mkipost picha ya panaroma ya cbd kuna jengo mbili aikosi kuonekana sijui Tpf ama tfs..hahaa real estate buda hamtoboi
Kha!! Ndiyo umedanganywa hivyo!?. Tulianzisha vita ya kuhusu majengo marefu jengo kwa jengo mkakimbia. Sasa hivi mnavizia tunatoka kazini tupo njiani mnaanza kupost vitu vile vile. Tuanze kuhesabu majengo yenye gorofa zaidi ya 20. Kati ya Nai na Dar.

Nakutaka usikimbie tuende one after another. Subiri one hour tuanze. Sawa!?
 
Huko tulishatoka zaidi ya miezi miwili iliyopita. Fuatilia thread vizuri. By the way unaleta vyuo vya nchi nzima. Kwikwikwi!!
 
Huko tulishatoka zaidi ya miezi miwili iliyopita. Fuatilia thread vizuri. By the way unaleta vyuo vya nchi nzima. Kwikwikwi!!
Nalivilete hivi vyuo ndio mjeledi ukuingie sawasawa mgongoni...
 
wapi?? nyie ndo mnapost picha ya jengo moja na mkipost picha ya panaroma ya cbd kuna jengo mbili aikosi kuonekana sijui Tpf ama tfs..hahaa real estate buda hamtoboi
Hhahhaha majengo over 20 mliingia mtini 😀😀😀😀😀😀😀 majengo yenyewe yanahesabika acheni ujinga nyie
 
Nalivilete hivi vyuo ndio mjeledi ukuingie sawasawa mgongoni...
Unaandika lugha gani hiyo!? Fuatilia thread hii. Kuhusu vyuo vilivyo Dar na vilivyo Nairobi tulisha jadili muda mrefu sana. Halafu wewe mbona unaleta nchi nzima!? Au umeona mziki wa Dar ni mkubwa mpaka unabeba kijiji!? Kwikwikwi.
 
Ahaahhaaa kibera baby the largest slum on planet haijawah kutokea and kibera is also a tourism sector wazungu wanakuja kushangaa binaadamu wanaoishi kama nguruwe. 😀😀😀

Ukiambiwa usome unaanza longolongo, ndio maana vitu ndogondogo huelewi, huyo mkenya ameandika akifanya refence kwa ripoti nyingine, sasa alivyoandika mkenya ni yeye aliyefanya utafiti??
 
Ahahhahahahaa sasa munatuonesha nini hahahaha au wewe unahusika hapa hahhhahahaah ukishindwa kubali
 
Wana Dar is slum ni Limbukeni kupindukia
Hata ukihesabu list of universities in Tz haifikii nusu ya Universities Kenya....
Hhhhhhhahhaa kote umeshindwa sasa umekuja huku hahahhahahhahaa dar hii hutoboi kokote kichapo lazima tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…