hahahahaa... True word bro, ila ni thread nzuri kama watu waki behave, kwa mfano nimeona kuna watu wanapenda matusi akizidiwa kwa hoja utasikia mamako .... au matako...., sina haja kuwataja ila wana jijua. Kuna ujinga mwengine mtu anatunga data halafu ana insist au kuleta vitu ambavyo havipo. Mnao fanya hayo jaribuni kuacha thread iendelee ku trend kiheshimaGuys we should let each other be now... This will never end and it's only getting childish and more childish..
hahahaha.ila nairobi hatuachi kuja.tutakuja tu hata kama hamtaki.[emoji23] [emoji23]hii thread enyewe imelose meaning......Let everyone stay in their city in peace.
asante kwa kuropoka.I have lived in Nairobi for nine good years now lakini sijawahi kusikia kuna mtaa inaitwa river road. Mnajifanya sana mnajua Nairobi ila wengi wenu (the kodadas of this world) husikia tu redioni na kusoma mitandaoni. Desperate danganyikans
Hehehe baada ya kuona game gumumkianza kutukana Kenyans ati sijui wanafananaje hiyo ni kudeviate kabisaa.......so kila mtu akae kwao polepole.Watanzania waisifu dar nasi tuendelee na NAIROBI yetu au vipi my frens
Kazi yenu kuwadanganya kwasababu wako over 50000 km far from you lakin mtanzania utamdanganya nn😀😀😀😀😀Nairaland people are so mature.......huku ni emotions.Then again a thread like Daresalaam vs Nairobi should go to such platforms where neutral guys give their opinions......hapa tutazunguka tu forever
mbona kila siku unashinda jf. si uende huko kwa watu matured.Nairaland people are so mature.......huku ni emotions.Then again a thread like Daresalaam vs Nairobi should go to such platforms where neutral guys give their opinions......hapa tutazunguka tu forever
hahahaha.ila nairobi hatuachi kuja.tutakuja tu hata kama hamtaki.[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]Na hakuna 7bu yakuwapa mamluki kazi ya kusifia au kutangaza kwenuNairaland people are so mature.......huku ni emotions.Then again a thread like Daresalaam vs Nairobi should go to such platforms where neutral guys give their opinions......hapa tutazunguka tu forever
Prado linapumua Ilo [emoji3][emoji3]
mbona kila siku unashinda jf. si uende huko kwa watu matured.
halafu jaribu tu kuwa mkweli, hivi kati ya wanageria wa nairaland na watz wa jf, watu gani wapo matured katika conversion na wakenya?.
matusi yote yale na cyber bulling mnazo fanyiwa na wanaija leo hii unawaita matured?smh.
licha ya utani na kurushiana maneno ya hapa na pale, mijadala ya wakenya na watz katika jf ni ya staha na ya kuvumiliana sana.huwezi linganisha na zile dharau mnazo fanyiwa na wanaija kule nairaland.
Lagos watu wengi sana vurugu lake sipati pichaHahaha wanaija wamekwama huku Nairobi kwa wingi..... mji wao Lagos umechakaa afadhali hata Dar
Kwani nairobi haujachakaa😀😀😀Hahaha wanaija wamekwama huku Nairobi kwa wingi..... mji wao Lagos umechakaa afadhali hata Dar
hehe mali tamu sana aisee...is this on your menu tonight?😀😀😀
asante buda kwa kutuonyesha picha ya sister ako akiwa na boyfriend wake kwa barabara za nai. [emoji23]
Ndio wewe huyo au?