COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Good school building, but children live in slums without toilets, electricity and no food to eat, only happens in a failed statembagathi high school kiberaView attachment 700204 View attachment 700205

you've been predicted to have overtaken us since 2012....but in reality we are almost doubling TanzaniaHehhee😀😀😀😀
Unapoambia 55 vs 51.3 usilie endeleeni kupika data mpaka ziungue
na juu ya hapo usisahau 60% debt to GDP ratio
View attachment 700176
Kwanza tunatengeneza njia mpya ambazo zitapunguza jam alaf sasa tunajenga fly over na interchanges kwenye barabara kubwa zinazokutana nafkiri unajua dar ina barabara nyingi sana in km kuliko nairobi😀😀😀mmeshindwa kujenga flyover tangu independence
Sasa wakati ndio huu na magufuli ndio huyu endeleeni kukopa sasa mumefika 60% debt to Gdp ratio😛😛😛😛😛😛you've been predicted to have overtaken us since 2012....but in reality we are almost doubling Tanzania
Unaona sasa mambo ya wataalamu haya. ..uchumi wao ungekua unatuacha wangeandika kinyume chake...Kenya uongo uongo sanaYa kwenye makaratasi😀😀😀
78b alaf bado muwe na njaa na dhiki kibao mitaendelea kupika mpaka iungue
View attachment 700196
Kwenye maneno 10 ya mkenya chukua moja uende zako 😀😀😀😀😀Unaona sasa mambo ya wataalamu haya. ..uchumi wao ungekua unatuacha wangeandika kinyume chake...Kenya uongo uongo sana
Wiki moja wakati kila kitu mnakopa. .hizo ni projects za kufanywa wiki moja.......why would Nairobi need a cable bridge....which is 500 metres only.
:Good school building, but children live in slums without toilets, electricity and no food to eat, only happens in a failed state![]()
![]()
![]()
![]()
right from flickr :Leta ushahidi kua ni dar au tanzania 😀😀
right from flickr :
:Leta ushahidi kua ni dar nasubiria😀😀
haha labda kwa ndoto ...Kwanza tunatengeneza njia mpya ambazo zitapunguza jam alaf sasa tunajenga fly over na interchanges kwenye barabara kubwa zinazokutana nafkiri unajua dar ina barabara nyingi sana in km kuliko nairobi😀😀😀