Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
bro wacha ujinga....huyu jamaa infantino amekuwa nchi ngapi duniani??? hata Uganda na SA amekuwa juzi...duh! ila siwez walaumu...nyie hata lift na ukuta mnasherehekea ndio maana unaona ni jambo kubwa kutembelewa na genge la wazungu...😀😀😀😀😀hongera zenyu.
ila next time usifananishe hiyo world cup trophy tour ambayo inapita nchi 51 duniani na na fifa executive summit inayofanyika dar es salaam mda huu.
embu soma hii.
![]()