KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
Wewe hata huna habari, hujui ni nini inaendelea.
Hio sio CBD, fyi CBD stands for Central Business District.
Hizo ni estates, mahali watu wanaishi. Huku kwetu hatuishi CBD kama nyinyi, tu naishi outskirts za jiji.
How will he understand what a CBD is if Dar is literally unplanned!? To them being perched up on fifth floor of a gloomy Kariakor residential apartment overlooking an office tower is he height of urban living. Ataelewa baadaye wakijipanga na kufuatilia master plan yao,if at they have one.