kwa hiyo unataka kutuambia issue ya slum nchini kenya ni propanganda tu ya NGOs ili washawishi kutumiwa misaada?.You know these Nairobi slum populations are exaggerated for Ngos to stay in business and keep the funds coming.......they have literally exaggerated all of them 10 times.................I dare any Dar resident to give .....there is an article saying 700k people in Nairobi live in informals.....but this one says 2.5 million.....the truth is that in Nairobi the slums are rarely visible even in aerial views.
And no one cares about this. Wapo hapa wanatupa porojo za Avic towersHehe hvi wakenya mlikosea wapi????
😀😀😀😀 Hvi binaadamu anawezaje kuishi ndani ya haya mabanda ya nguruwe infact sina uhakika hata kama huyo nguruwe ataweza kuishi
very educative analysisManzese imepitia upgrading scheme ambayo pia imefanyika tandale mpaka ubungo-kibangu
Sisi Tanzania hatufanyi kumfurahisha MTU.. Tunafanya kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na hali duni.
Kilichofanyika Manzase kwanza ilikuwa kuongeza accessibility.. Barabara ndogo nyingi zilikuwa proposed na zimeendelea kujengwa taratibu na serikali..
Pili kuwapimia watu viwanja na kuwamilikisha kisheria.. In return watu wameweza kukopa na kujenga majengo ya kudumu maana wana hakika na uwekezaji wao.
Tatu kumekaribisha huduma nyingi Leo kuna maofisi yako manzese .. Kuna huduma chungu mbovu za kijamii ziko.manzese.. Na nyumba kwa sehemu kubwa zinaendelea kuboreka sana.
Kwa kifupi kuona mabadiliko yake inabidi uangalie kwa ukaribu.. Lakini ni resettlement ya manzese na tandale ndio iliyo zaa sinza. Kama resettlement ya jangwani ilivyozaa mabwepande au kipawa ilivyozaa new kipawa.
Kitu kingine naona kinatuchanganya hasa watu wa battle hii tunaongelea vitu bila context. Mfano Nairobi in approx. 2.5 m people occupying only 6% of Nairobi land.
Dar has close to 70% of its land not surveyed. For lack of better terms all are called informal settlements .. But if you dig deeper ndio unajua how different we are.
The worst slums zinashida ifuatayo.. Watu hawana maeneo ya kutosha kuishi, wanakosa vyoo, hwana access roads, hawana huduma za kijamii kama shule, hospitali, masoko, Usafiri Wa umma, Umeme maji nk.. Majengo yao yamejengwa kwa inferior material..na neighborhood zao shughuli za kiuchumi sio sustainable.
Sasa hebu niambie wapi in dar pako katika hali hiyo niliyoitaja hapo juu. Without missing a single attribute. To save you time bro.. Hakuna.. Watakosa kimoja au viwili and most of times there is a room to change if investment is available..
For slums in Kenya.. 2.5m people in 6% of land means these people just to have enough land to live in.. Nairobi needs at least a quarter of its land to resettle these people. For a starter. And there after ndio waande improvement. Otherwise it will remain over crowded and slum in just better houses.
Hadi wageni wanatuelewa
Acha porojo 2.5 million people na hiyo ni Kibera pekeyake. Mko busy mnaimba Uhuru tano tenaYou know these Nairobi slum populations are exaggerated for Ngos to stay in business and keep the funds coming.......they have literally exaggerated all of them 10 times.................I dare any Dar resident to give .....there is an article saying 700k people in Nairobi live in informals.....but this one says 2.5 million.....the truth is that in Nairobi the slums are rarely visible even in aerial views.
Wivu unakusumbuaAbubakar Mgamba should stop licking indian ass. Why respond to stupid questions. Mibongo nayo na inferiority complex. That video shows like 4 highrise towers visible @ 3:39 which is all you have. Tena Mgamba ni tourist guide kitu gani??
Sl ukiona bati unaweza ona na nyumba ilivo??,Danganya watu wengine brathe
View attachment 698821
bado wapo kwenye kuimba wimbo wa "tz ni ldc".Watu wanasherekea blueprint wakat sisi tunatumia pesa kufungua southern circuit
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
View attachment 698973
Yes you have said it all. Large part of our city is not surveyed yet people build good homes in those unsurveyed settlements and get all required social services.Manzese imepitia upgrading scheme ambayo pia imefanyika tandale mpaka ubungo-kibangu
Sisi Tanzania hatufanyi kumfurahisha MTU.. Tunafanya kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na hali duni.
Kilichofanyika Manzase kwanza ilikuwa kuongeza accessibility.. Barabara ndogo nyingi zilikuwa proposed na zimeendelea kujengwa taratibu na serikali..
Pili kuwapimia watu viwanja na kuwamilikisha kisheria.. In return watu wameweza kukopa na kujenga majengo ya kudumu maana wana hakika na uwekezaji wao.
Tatu kumekaribisha huduma nyingi Leo kuna maofisi yako manzese .. Kuna huduma chungu mbovu za kijamii ziko.manzese.. Na nyumba kwa sehemu kubwa zinaendelea kuboreka sana.
Kwa kifupi kuona mabadiliko yake inabidi uangalie kwa ukaribu.. Lakini ni resettlement ya manzese na tandale ndio iliyo zaa sinza. Kama resettlement ya jangwani ilivyozaa mabwepande au kipawa ilivyozaa new kipawa.
Kitu kingine naona kinatuchanganya hasa watu wa battle hii tunaongelea vitu bila context. Mfano Nairobi in approx. 2.5 m people occupying only 6% of Nairobi land.
Dar has close to 70% of its land not surveyed. For lack of better terms all are called informal settlements .. But if you dig deeper ndio unajua how different we are.
The worst slums zinashida ifuatayo.. Watu hawana maeneo ya kutosha kuishi, wanakosa vyoo, hwana access roads, hawana huduma za kijamii kama shule, hospitali, masoko, Usafiri Wa umma, Umeme maji nk.. Majengo yao yamejengwa kwa inferior material..na neighborhood zao shughuli za kiuchumi sio sustainable.
Sasa hebu niambie wapi in dar pako katika hali hiyo niliyoitaja hapo juu. Without missing a single attribute. To save you time bro.. Hakuna.. Watakosa kimoja au viwili and most of times there is a room to change if investment is available..
For slums in Kenya.. 2.5m people in 6% of land means these people just to have enough land to live in.. Nairobi needs at least a quarter of its land to resettle these people. For a starter. And there after ndio waande improvement. Otherwise it will remain over crowded and slum in just better houses.
lol.....2.5 million to console yourselves but in reality it has 200k people......take it or leave itAcha porojo 2.5 million people na hiyo ni Kibera pekeyake. Mko busy mnaimba Uhuru tano tena
Waonyeshe wenzako waione Dar ilivyo[emoji23][emoji23] na hapo ilikua outside CBD.. Mwishoni mwa Video ndo alikua anaanza kuingia CBDs ftom dar and its stunning too i must say, for those who have been to mombasa it kina has the same feeling.impressive.
Abubakar Mgamba should stop licking indian ass. Why respond to stupid questions. Mibongo nayo na inferiority complex. That video shows like 4 highrise towers visible @ 3:39 which is all you have. Tena Mgamba ni tourist guide kitu gani??
I know I was commending on the nicer part of dar too and it's similar to mombasa
this is crap..slums around the airportDar ni aibu tupu
Why are you always arrogant man. Naonyesha kuwa yeah kuna sehemu nzuri dar na bado wapiga kelele kama mburukenge, ama hukuelewa nilikuwa namaanisha nini? Sometimes unafaa kuwa rralistic pia kidogo, useme ndio kuna sehemu nzuri za hii jiji sio ati kila saa oo mko chini sijui nini... Wewe hata umeangalia hizo video za nairobi ambazo nilituma?Waonyeshe wenzako waione Dar ilivyo[emoji23][emoji23] na hapo ilikua outside CBD.. Mwishoni mwa Video ndo alikua anaanza kuingia CBD
kama hio si slums kenya haina slumHii video imeonyesha kwa jinsi gani Dar es salaam haina slums. Hii ni Manzese ambayo mmekuwa mkisima ni slum.