Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usijali kaka, it was officially launched last year, na inafaa kukamilika 2020 hapo. So bado tuko kwa timeline ile walipeana. Na wacha too much salt
heheheh pinnacle was launched last year?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ be serious
 
Hahaha wakenya Wanambishia mpaka Mtalii/Youtuber kwamba Nairobi ni nzuri kuliko Dar[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa MTU anawaambia ukweli kwasababu kashatembea kote[emoji23][emoji23]
 
Tuonyeshe hapa hizo Over30 tuzione....
Hizo PSPF 1&2
Pamoja na TPA

Af na hizo rita tower pamoja na LAPF

Sima ni vira his sana kusema hivyo maana Hizo TPA na PSPF ni ndefu sana kuliko za karibu
Inayoikaribia jiran apo ni Samora tower(23flr)
 
Hizo PSPF 1&2
Pamoja na TPA

Af na hizo rita tower pamoja na LAPF

Sima ni vira his sana kusema hivyo maana Hizo TPA na PSPF ni ndefu sana kuliko za karibu
Inayoikaribia jiran apo ni Samora tower(23flr)
Rita tower ni meter ngapi?
Halafu kumbe waniletea vitu vya 23flrs?!?! lol πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…