Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



umesahau Abedy ngosso a Tanzanian chose to stay in Kenya to do music...

Christina shusho pia alihamia Kenya akahepa LDC....

Nyuki pia alihepa tz kufanya mziki Kenya....

Alikiba pia ni kama amehamia Mombasa.......

Diamond pia kila weekend lazma aje pool party Kenya .....

Oh Ommy Dimpoz pia aliishi huku pamoja na Venessa Mdee.....

as I said...matusi mtarusha lakini mtakuja tu in the most developed country in East and central Africa....

hata joto la jiwe najua anapanga kuja Kenya....Hahaha.Mje wote tunywe tusker.....my fren.....ama namna gani..."in William kipchirchir Samoei Ruto's " voice....
 
What does it mean to be a failed state joto la jiwe?
A personal question, joto la jiwe ni jina yako official ama ni nickname?
Hilo ni jina langu original kabisa, vipi umelipenda?[emoji1] [emoji1]
 
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Who is Abedy Ngoso?

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Ooh in short tuseme wewe uko na shida kwa sababu unapost tu vitu hujui?
Fail maana yake ni kushindwa, a failed state maana yake ni nchi iliyoshindwa kutimiza vigezo vya kimataifa vilivyokubalika ili nchi iweze kuheshimika na kukubalika duniani, ni nchi iliyoshindwa kutimiza majukumu yake kwa wananchi wake, na majukumu ya kimataifa.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hivyo kenya haikubaliki duniani?
Wasee tuende Mars.
 
Manze ni jina fiti, lakini najaribu ku imagine sasa wasee mtaani wanakuitanga aje?
Joto ama Jiwe?
Wananiita Jiwe kwasababu huwa nikimpiga mtu ngumi, ni kama amepigwa kwa jiwe, kwa ufupi mimi ni jitu la mazoezi, kifua ni kama ukuta wa nyumba, na ngumi yangu ni kama jiwe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwa hivyo kenya haikubaliki duniani?
Wasee tuende Mars.
Haikubaliki kuwekwa kundi la nchi ambazo hazijashindwa, ndiyo sababu imewekwa katika kundi ya nchi zilizoshindwa, lengo ni ili iweze kusaidiwa kujinasua katika kundi hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…