Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii sio Dar es salaam. Huku ni coast area hatuna udongo mwekundu. Msijalibu kuhamisha magoli tutawaubua. Hiyo picha niya vijijini, ushagoView attachment 697408
Kuna uwezekano hiyo picha moja si ya Dar. Lakini vipi kuhusu hizo picha zingine? je hizo shanties pia si picha za Dar? Naomba unijibu
 
City area dar is 1590 km sq
Nai 696 km sq

Hehheheh😀😀😀😀😀😀
New York is 780 square kilometres. Does it mean Dar is better than new York simply because it covers a bigger area? Your reasoning is pathetic
 
Haha 1500 sq km of shanties.
Ukubwa inasaidia nini?
New York City is 789 km sq.
Can you compare new York to Dar?
New York GDP is $1,500.1 billion while tanzania GDP just hit $40 billion.
Tofaut ya newyork na dar ni

Newyork is developed city

Nai na dar ni developing city

Akili tu sio nguvu😀😀😀😀
 
New York is 780 square kilometres. Does it mean Dar is better than new York simply because it covers a bigger area? Your reasoning is pathetic
New york is developed city

Nai na dar are developing city hahahah

Akili tu sio nguvu
 
Kumbe wikipedi 😀😀😀😀😀

Nibadilishe nieke 10 people only
 
middle class Dar zones



and Tanzanians think they are doing very well....Hahaha.Hiyo kama si laana ni wendawazimu
Hapa utangoja sana comments zao. Wanapita kana kwamba hawaoni hizo picha za dream houses. Cha ajabu ni kwamba 80%-90% of Dar es salaam looks exactly like these pictures above. Hata kisumu iko na mitaa bora kushinda hizo changaduo za Dar. Cha ajabu ni kwamba utaona wakileta picha za kibera forgetting that they have a bigger and worse version of kibera in Dar is slum
 
Ni million mbili na laki 7 sio laki mbili bro ile ni wikipedia naweza kubadilisha sasa hvi
 
Wanatafuta kila njia kuchukua picha za nchi tofaut tofaut kulazmisha ni dar lakin chaaajbu wanaumbuka wenyewe

Roho zinawauma kukosa sehemu kama kibera wanajihisi vibaya sama walijua wako mbele kumbe wako nyuma na wanazidi kurudi nyuma



Hahahahh ohhhh my ribs 😀😀😀😀😀
 
Mtasubiri sana, Tanzania hatuna slums, hizo picha ni zenu msitake kutuharibia CV yetu tuliyoijenga kuanzia our indepence day ya kupambana poor houses. Tanzania Hoyeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Izo flats wanapewa bure au kwa utaratibu gani...
Hiyo isikusumbue roho...hata nyinyi bomoeni hizo dream houses zenu mjenge decent houses. Hakuna atakaewauliza jinsi mtazitumia
 
Even IEBC register says there are only 78,000 registered voters in kibera. I wonder how out of 2.5 million people only less than 100,000 have registered as voters. as I always say, common sense is not common to some people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…