Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23]
 
ati walikuwa wanazindua lift??? hahahaha hawa jamaa heri hata mandazi tu
 
Utalii University-Mombasa

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/01/91630_7626c1c8f049ef5419adedbec6bcedef.jpg



Construction progress....
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/01/91631_85c8575c48e3620155d192a53c022254.jpg




 
hujui ni nani alianza kumchukia mwenzake. Wewe ni mgeni hapa JF. Kitu kingine hapa hatuchukiani tuna toa ukweli. I my self have many Kenyan friends na tunaishi nao kwa raha.
Wewe ni mnafiki... Sisemi chukitu ya JF nasema chuki ya real life. Tanzanians live in peace in Kenya while Kenyans are usually harassed in Tz.
 
Wewe ni mnafiki... Sisemi chukitu ya JF nasema chuki ya real life. Tanzanians live in peace in Kenya while Kenyans are usually harassed in Tz.
Wacha story za vijiweni, vuka boda uone kama kuna mtz anaujinga wa level yako...nobody cares ww ni nani, ishi vizur watz ni wakarimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…