Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya haifikii Tanzania kwa barabara nzuri, Kenya inajenga barabara za mijini na kuacha inter counties roads katika hali mbaya sana, Tanzania inajenga barabara za mikoani zaidi kuliko za mijini.

Hahaha yani unaamka nakujijazia jambo... Tembea Kenya kaka.

Tanzanians that have been in many parts of Kenya hardly criticise Kenya negatively, but wale wametembea na internet wanaropoka bila ufahamu wowote.
 
Hujafika Tanzania wewe, njoo ujionee barabara za Bongo, huwa ninazitumia sana barabara za Kenya, Lunga lunga hadi Mombasa ni mashimo matupu
 
povuuuu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…