Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

your cabinet secretary for tourism,najib balala, cares a lot about tanzania.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


That's how open with market analysis Kenya is. Always out to better ourselves!
 
sasa mmejibana kule darisalam kama viberiti wakati wanajeshi wetu wapo battle field...huwezi ukajua utamu au ukali wa mlo kabla ya kuonja...waleteni hao wenu tuone kama watamaliza alshabaab
kwan nyie mlitumwa mvamie somalia??😛😀😀
 
ni uzembe wako kutochangamkia fursa mbalimbali tz, wenzenu wapo huku wana ng'angana katika secta mbalimbali hata kurudi kenya hawataki.
 

Lol...diamond mwenyewe anahitaji kumanejiwa, Kenya atamanage nani!?
 
ni uzembe wako kutochangamkia fursa mbalimbali tz, wenzenu wapo huku wana ng'angana katika secta mbalimbali hata kurudi kenya hawataki.
kinachowaweka kule pengine ni warembo tu...ila Tanzania haiwezi kuwa na fursa zaidi ya Kenya katika nyanja za biashara...tayari tunaongoza katika biashara ukanda huu...na nimkuuliza kilichokuleta kenya ni nini? mbona unakwepa swali langu?
 

Kenya always sets the trend!
 
baada ya kufahamu kuwa jamaa ana miaka karibia 60 inanibidi nimheshimu...yule ni senior
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
bro kule wanachinja watu vichwa live mbele ya wananchi kana kwamba ni kuku....waleteni tu hao wanajshi tuone watakachofanya...sio kwamba tumshindwa na kazi ila kazi pia ni ngumu...alshabaab is a big threat...juzi tu waliwauawa wanajeshi wa Marekani
Ndiyo maana tunawaita rojorojo nyie ama Mmelegea sana mnaogopa kuchinjwa vichwa mwana jeshi yeyote ni risk ndiyo maana wanakula kiapo.....

Jeshi lenu halina power....kiuhalisia
 
That's how open with market analysis Kenya is. Always out to better ourselves!
but tumewanyorosha kwa utalii...mpaka mumeamua mzungumze kwenye media.
waswahili "mficha uchi hazai".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
but tumewanyorosha kwa utalii...mpaka mumeamua mzungumze kwenye media.
waswahili "mficha uchi hazai".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani mnasubiri kutunyorosha katika utalii 2013??? na hata hivyo ni baada ya swala la ugaidi...kwani mlirogwa nyie au? sababu mna vivutio chungu nzima...yaani nammshukuru sana Magu....angalau amewafufua kwani mlikuwa katika usingizi wa pono wakati wa JK na BM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…