MWANAUME UGOKO
Senior Member
- Nov 4, 2017
- 122
- 235
Tz troops jumla waliokufa Congo ni kama 26 kwa miaka 5 waliokaa Congo Kenya walikufa jumla ya soldiers 98 kwa siku moja January 2017 pindi alishababu walipovamia kambi je nani mwenye nafuuwanajeshi wa tz walipouawa kama kuku kule congo ulikuwa wapi?
sawa,nina job tayari kisha sina interest na music industry...ila asante
umshindwa kuangalia mwaka bro?hio link ya mwaka gani???
sasa mmejibana kule darisalam kama viberiti wakati wanajeshi wetu wapo battle field...huwezi ukajua utamu au ukali wa mlo kabla ya kuonja...waleteni hao wenu tuone kama watamaliza alshabaabnadra sana bro sio kama nyie munakufa kama kuku 😀😀😀😀😀
Sikuhizi uko na hasira sana. Ndo matatizo yakutokuwa na girlfriend. Tutakununulia Samanthamilitary influence...pumbaff....yaani nikama nazungumza na mbuzi...jamaa mbona hushiki chochote...naongea na mti au?
Icho umesahau Museven alishawahi kusema Jeshi la Kenya Legelege??[emoji23] [emoji23]cha kuskitisha somalia na south sudan munakufa kama kuku😀😀😀😀😀 sasa ikiwa KDF wanauliwa kwenye ardhi yenu je kwa watu inakuaje????
hahahaha...sawa mzee ila huwa najiuliza nairobi uliishi kwanini kama si kutoroka umaskini uliopo tanzania...wewe umeishi nairobi sio? nina uhakika nairobi imechangia kwa njia moja au jingine kwa ufanisi wako wa leo...mfano hakuna mkenya aliye hapa aliyesema kuwa ameishi bongo hata siku moja...sawa,
najua last two weeks "uliandikwa" job ya u-kanjo askari wa nairobi city council. but sidhani kama hiyo job unaipenda...unafanya tu almradi usiwe idol kwa keja. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ukweli sina kwa sasa...girlfriend alienda kusomea UK...nateseka sana mie😀😀😀😀Sikuhizi uko na hasira sana. Ndo matatizo yakutokuwa na girlfriend. Tutakununulia Samantha
una fananisha congo na somalia...kwani una kinyesi kichwani? walete hao wanajshi wenu somali bas tuone watakachofanyaTz troops jumla waliokufa Congo ni kama 26 kwa miaka 5 waliokaa Congo Kenya walikufa jumla ya soldiers 98 kwa siku moja January 2017 pindi alishababu walipovamia kambi je nani mwenye nafuu
"KDF ni Legelege" in Museven voice not mewanajeshi wa tz walipouawa kama kuku kule congo ulikuwa wapi?
Wakati KDF inaingia Somalia, Uganda walikuwa wapo Mogadishu walishaikomba, Kenya mlikomboa mji wa Kisumayu pekee, acha kutudanganya jombaa
Safi mtafute....humo humo kisha mkamate....maana wanalingia wakati uchumi wao upo kwa wawekezaji wa nnjeunaona sasa ulivyo andazi,hamna sehemu nimedai influential ya kenya iwe kwa kutumia jeshi.
kwanza hiyo siyo tafsiri yake,tafsiri yake ni ushawishi,unashawishi kwa kutumia jeshi kiaje.hapo utakuwa umelazimisha.
turudi kwenye ushawishi wa kenya sasa,ina ushawishi upi kwa majirani???
huyo ni mnyama yupi?"KDF ni Legelege" in Museven voice not me
Buda naona kadoda kakunyoosha una reply kiupole kama padri anayemaliza ibada kiupolehahahaha...sawa mzee ila huwa najiuliza nairobi uliishi kwanini kama si kutoroka umaskini uliopo tanzania...wewe umeishi nairobi sio? nina uhakika nairobi imechangia kwa njia moja au jingine kwa ufanisi wako wa leo...mfano hakuna mkenya aliye hapa aliyesema kuwa ameishi bongo hata siku moja...
Yule aliye change route ya oil pipe linehuyo ni mnyama yupi?
Kila nkikutana na mkenya anasema somalia,somalia,somalia nimewahi kukaribia mpaka na somalia nlipokuwa Kenya mbona pa kawaida tu hao mbona wana light weapons tatizo Kenya Muundo wa ulinzi ni mbovu ndo maana hata west gate mall kulitokea mabishano kati ya kamanda wa polisi na KDFuna fananisha congo na somalia...kwani una kinyesi kichwani? walete hao wanajshi wenu somali bas tuone watakachofanya
Safi kabisa kajileta kumbe ulukuwa unamtaftia patamu Kenye wimbio wao wa gdpLakini Angola GDP yake ni $150B, hapo ndiyo ujue GDP haina maana kama uchumi sio Inclusive kama ulivyo uchumi wa Kenya, wachache watafaidi, walio wengi wanaendelea kuimba GDP na kuishi katika slums.
Kuhusu mission ya Kenya huko Somalia was unplanned na inaitia Kenya hasara kubwa, ni failure mission na serikali ya Kenya pamoja na wananchi wengi wanajuta kwanini waliamua kwenda huko, Kenya haikufanya situation analysis ya kutosha kabla ya kwenda Somalia ndiyo sababu inapata hasara kubwa ambayo kama wangejua mapema wasingeliweza kuingia Somalia, kwahiyo hakuna ukweli wowote kwamba Kenya imesaidia zaidi kuliko majeshi ya Ethiopia, Burundi, Uganda, na Djibout ambayo yalikuwepo Somalia kabla ya Kenya.Remember that Uganda,Ethiopia and Burundi were first deployed among to curb among others piracy of which Mogadishu was the nerve operations center. Kenya's target was Kismayu because that was where terror training cells infiltrating into Kenya were domiciled hence the need of double-pronged approach. UG/ET/BR took care of the north while Kenya tackled the south,borderline and Kismayu
baada ya kufahamu kuwa jamaa ana miaka karibia 60 inanibidi nimheshimu...yule ni seniorBuda naona kadoda kakunyoosha una reply kiupole kama padri anayemaliza ibada kiupole
bro kule wanachinja watu vichwa live mbele ya wananchi kana kwamba ni kuku....waleteni tu hao wanajshi tuone watakachofanya...sio kwamba tumshindwa na kazi ila kazi pia ni ngumu...alshabaab is a big threat...juzi tu waliwauawa wanajeshi wa MarekaniKila nkikutana na mkenya anasema somalia,somalia,somalia nimewahi kukaribia mpaka na somalia nlipokuwa Kenya mbona pa kawaida tu hao mbona wana light weapons tatizo Kenya Muundo wa ulinzi ni mbovu ndo maana hata west gate mall kulitokea mabishano kati ya kamanda wa polisi na KDF