Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuwekee estates dar acha pere pere nyingi
 
nyuzi zote hizo zimeanzishwa na Wanaija wakisifia Kenya. ugua taratibu tu. hakuna namna ingine
 

ifikie hatua ujitambue sasa,hivi unafikiri kenya inapata faida gani ikijulikana na nigeria???

hii tabia ya kujipitisha pitisha wakenya ipo damuni,mna vihere here sana nyinyi.mmeathirika sasa mpaka kujiaminisha kwamba kila kizuri kinapatika kwa wazungu na kenya tu,the best shit of bla bla.she super f*ck sjui what and so..ili iweje.

juzi simba dume wampigwa picha waki sex kenya,mlivyo mapopoma mkaona hewalaaaa hii nayo ni headline wacha twende nayo media.

unataka tutajwe na nigeria kwa biashara gani!!!???hao wapopo mnaendana akili ndio maana nao ni kelele nyingi na kujisikia.
 
nyuzi zote hizo zimeanzishwa na Wanaija wakisifia Kenya. ugua taratibu tu. hakuna namna ingine
ni kweli wanawasifia ila kwa kuwatusi na kuwadharau.

hongereni kwa kutukanwa na mabwana zenyu wanaijeria. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
tunafanyia marketting nchi yetu ili tuweze kuvutia watalii. na hii tumeifanya kwa miaka mingi sana. huwezi kulinganisha Kenya na Tz kwa upande wa vivutio vya kitalii. Tz imebarikiwa si haba. nyinyi mukilala sisi tutaendelea kusema Kilimanjaro, Olduvai Gorge na Ngorongoro Crater ziko Kenya.
 
mjinga mwingine amekimbia nairaland kutafta comments zinazohusu Kenya ili alete hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€huwa nashangazwa sana na hawa bongolala...mtu mzima mbona kajikosa heshima hivi...jamaa nina uhakika ana miaka karibu 40 ila akili za teenagerπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kwa zile movie zao za kibongo huwa naskia mtu mwenye hana akili anaitwa ''mtu-mzima-ovyo'' huyo ndiye Kidonda11
 
jamaa sasa unawaabudu wa nigeria...SMHπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€LDC ni LDC tu
 
kwa zile movie zao za kibongo huwa naskia mtu mwenye hana akili anaitwa ''mtu-mzima-ovyo'' huyo ndiye Kidonda11
huyo jamaa ana miaka karibia 40 lakini akili zak kama za mtoto wa nurseryπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani mtu mzima anaenda kwa Nairaland search box anaandika keywords (Kenya)πŸ˜€kwani wanigeria watatupeleka wapi?
 
Kizuri chajiuza ila kibaya lazima kitumie nguvu nyingi sana ili kionekane kizuri nchi ya kenya ni sawa sawa na kupaka rangi taka kwa nnje ili ionekane safi na inapendeza angali ndani imeshaoza na inanuka harufu chafu....

Matokeo yake day afta day matokeo yanabainika
 
Haujafa tu
 
Meanwhile nchi nambari moja unapo search LDCπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 696123
[emoji112] [emoji112] [emoji112] kizuri maisha yanaendelea cha ajabu ukimuweka maskini wa kenya ukimlinganisha na huyo wa ldc maskini wa ldc ni bora kuliko wa kenya.,..


Imekaaje hii kitu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…