Estate yao ni kariakoor. Kule kila kitu hufanyika. si ajabu kuona mtu amefunga towel juu ya balcony akiongea na mama mboga hapo chini kwa street amkatie mboga za lunch! hahahathey dont hav anything outside that CBD...kila mtu anaishi hapo...kila mtu anafanya kazi hapo...kila mtu anatibiwa hapo....hawana estates hawa majamaa
I don die oooEstate yao ni kariakoor. Kule kila kitu hufanyika. si ajabu kuona mtu amefunga towel juu ya balcony akiongea na mama mboga hapo chini kwa street amkatie mboga za lunch! hahaha
Ewaaa... Sasa hayo ndiyo matunda yakuto kukurupuka, vitu mosi mosi ila vya uhakika. Hizi za juu juu hazifai kukatisha Nairobi maana jamaa wanasifika kwa kurusha vinyesi vyao baada ya kushiba githeri [emoji1]Sio kwenye wagons tu, usijekushangaa kukutana na trains za aina hii zikirandaranda kwenye reli ya kati, mechanism za hizi locomotives kuoperate Tanzania ndio hizo
Ha haass[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ewaaa... Sasa hayo ndiyo matunda yakuto kukurupuka, vitu mosi mosi ila vya uhakika. Hizi za juu juu hazifai kukatisha Nairobi maana jamaa wanasifika kwa kurusha vinyesi vyao baada ya kushiba githeri [emoji1]
AkiNot to forget Nyari estate. Man! look at that picture. You will be forgiven to think that it's somewhere in Europe View attachment 696065
Ooh myPart of Ngara estate showing area around Fig Tree marketView attachment 696056
My brother usishangae sana, just go to google earth uone vile dar omechakaa. Yani kila mahali ni nyumba za gable with corrugated iron sheets. Huu mjii haifai kulinganishawa na Nairobi haplta sekendu moja. Enda google earth ama wikimapia.org then search dar es salaam. Utacheka sana
wacha nimpe sample
View attachment 696037
Look at those "dream houses"
hahahahaa... and they haplilly call them 'dream houses' without a shame. yaani jichoboy akiwa na nyumba hapo katikati tayari anajiona amefika
it's so interesting to see how these Tanzanians keep showing us images of dar cbd. Yani kaeibia 90% of all their postings capture only the cbd, with the three blue towers featuring prominently followed by the overrated brt. Yani ni nadra sana kuona hawa ndugu zetu wakipost earial photos showing life in dar outside the cbd. It only confirms one thing: this glorified village has nothing outside the cbd which makes this comparison a stupid one. Yani dar iko na slums left right and center! ingieni google earth ama wikimapia.org mshangae
vilaza wakiji-console. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu utsikia eti dar kila mtu anamiliki nyumba. Hizo ni nyumba au changaduo? najua watataja kibera but kibera ni sehemu ngogo sana kwa Nairobi. Comparing Nairobi with dar is a waste of time
But u dont live there nigga... Hapo wapo wenye hela wee unaeshabikia unaishi wapi anko..[HASHTAG]#free[/HASHTAG] your mindNot to forget Nyari estate. Man! look at that picture. You will be forgiven to think that it's somewhere in Europe View attachment 696065
Yaan hata meaning ya estate hawaijui aisee......hao wakenya ni vilemavilaza wakiji-console. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
But u dont live there nigga... Hapo wapo wenye hela wee unaeshabikia unaishi wapi anko..[HASHTAG]#free[/HASHTAG] your mind
Safi sana.....ujumbe umefika na fact zimesikika......waje kupiga domo sasaSijui wakenya wataficha wpi sura zao