Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

can you please look at the aircraft registration...
kenyan aircraft begins with 5Y


 
kaka utafanya watu wajipige ban wenyewe. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nairobi bado sana kwa Dar. Hata wewe mwenyewe unaweza kukubaliana na ukweli
Tizama hapa ni Dar sehemu ndogo. Nimeengalia video yote uliyoiweka naweza kusema kweli barabara ni nzuri kiasi kidogo japo kwa upande wa BRT tunawanyosha. Kwenye majengo usiseme Nairobi iko too scattered lakini dar ipo vizuri kwa upande huo

 
Kweli Nairobi majengo yako scattered huwezi kuifananisha na jiji la wajanja Manhattan ya Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…