Nawaza tu tena siyo kwa sauti ya juuAfrica ni nchi 5 tu...Nigeria, Egypt, SA, Morocco na Kenya....wengine wote flower girls...😀😀😀end this battle now
nimefurahi umerejea ili niendelee kukukuna. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wimbo mzuri ila umechuja. [emoji23] [emoji23] [emoji23]tz ni LDC...ama ni siri?😀😀😀
kumbuka mimi ni mumeo.[emoji23] [emoji23]Sasa umegrow manhood? acha umama basi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawapoooo mbwembwe zote Collo upo wapi mswaswat Wazee wa Nairobi mpo wapiNawaza tu tena siyo kwa sauti ya juu
The Richest Countries In Africa
View attachment 695021
The Richest Countries In Africa
Kenya hamo kwenye orodha hiyo.
Wewe siuliwambia wenzako kuwa waache kuchangia chochote kwenye hii thread? Mbona wewe ulikuwa wakwanza kuvunja azimio ulilo liweka? Nachoona nikuwa hii thread imewanyima sana usingizi, nikama mlikuwa hamjuiAfrica ni nchi 5 tu...Nigeria, Egypt, SA, Morocco na Kenya....wengine wote flower girls...😀😀😀end this battle now
master,View attachment 695027 View attachment 695028 Hapa tukiwa katika mbuga za Nairobi cbd tunaona viumbe wanaojulikana kwa jina la majobless wakiwa katika natural habitat yao. Wanapatikana kwa wingi eneo hili, viumbe hawa ni hatari sana hivyo inabidi uwe makini sana wakikufuata kwa nyuma kwani either utapigwa roba au utasikia mimi fundi umeme nipatie job budda.
Kenya wana $1400 wanajiita nao vinara duuh ni maajabu,tupambane sanaNawaza tu tena siyo kwa sauti ya juu
The Richest Countries In Africa
View attachment 695021
The Richest Countries In Africa
Kenya hamo kwenye orodha hiyo.
thread imewakalia sehemu mbaya. hawana namna ya kuikwepa wala kuikimbia....inabidi tu wakabiliane nayo hata kama nafsi zao hazitaki.Wewe siuliwambia wenzako kuwa waache kuchangia chochote kwenye hii thread? Mbona wewe ulikuwa wakwanza kuvunja azimio ulilo liweka? Nachoona nikuwa hii thread imewanyima sana usingizi, nikama mlikuwa hamjui
Kila siku unasema end of this battle lakini kukikucha unahamka nayo. Tanzania siyo ya 60's.
Wanaendelea kuiga yale mazuri ya Magufuli, huu ndiyo ujirani mwema tunaoutaka, kuiga mema ya jirani yako, hongereni sana wakenya[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]hakuna namna....lazima waige style ya uongozi wa tz.... hii ndio multiply effect ya utawala wa JPM.
Engineers wenzio wako site...Physics ilikushinda ndio ukawe engineer...Labda as kuunda koroboiSitaki sharobaro wa humu kuni quote,,,,,,,,,,you should know your place.
watakwambia issue za viongozi wa kenya ku-resign kwa hiyari zilikuwepo kabla hata uhuru kenyatta hajaingia madarakani.Wanaendelea kuiga yale mazuri ya Magufuli, huu ndiyo ujirani mwema tunaoutaka, kuiga mema ya jirani yako, hongereni sana wakenya[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
master,
hii yako inaweza kuwa ni post bora ya siku ya leo katika thread hii....mtu hatari sana wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]