Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe sio mgeni kwa huu uzi so rudi nyuma kiasi upate ushahidi na usisahau kuweka za Tz SGR kwa kunitag.

sisi hatuna SGR kama ya Kenya tumeamua kuunda ya kisasa zaidi ya umeme[emoji1][emoji1][emoji1].

buses vip nazo ni za diesel
 
Tz ni nchi ya Mabasi(ldc) sisi Kenya ndege, SGR, buses(good roads) and upcoming cable cars are our modes of transport.
Akili zako nimatope
Wananchi wanakunywa maziwa ya mbwa
lini wanaweza kupanda ndege!!
 
mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar wakati wazanzibar wanamiliki ardhi Tanganyika.


ni ukweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…