Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji4][emoji4][emoji4]hivi umetumia kigezo gani kupanga foleni moja na south,nigeria na egypt???

maana hao wote gdp zao ni zaidi ya 150b wakati nyie mko na 60???

buda wakenya mna akili za namna gani???
Rekebisha from 60 to GDP $80 b as at 2018. Hiyo 60 hamjafika nafikiri bado Mnang'ang'ania pale $42 b kwa hohe hahe.
 
Tz ni nchi ya Mabasi(ldc) sisi Kenya ndege, SGR, buses(good roads) and upcoming cable cars are our modes of transport.
 
Kama vile ya East Africa yote haifikii ya Kenya.
Kenya GDP yenu ni yakubashiri hakuna data ya uhakika yakuaminika!!mara 55,70 ww useme 80 jay aseme 100 sasa sio wizi huo ni nn...it's simple Tz now 51bln nyie yenu ni ipi hamueleweki
 
Tz ni nchi ya Mabasi(ldc) sisi Kenya ndege, SGR, buses(good roads) and upcoming cable cars are our modes of transport.
Mafara wengi Kenya hawajapanda ndege and some will never board ...vp kuhusu buses ambayo every one lazima atapanda? ??usiwe kiazi ww
 
Hata Dar ni kijiji so fafanua zaidi upo kwenye msitu upi?
Dar Ni kijiji Nai kitongoji!!
Mkoa wa Pwani unageographia ngumu kidogo...sehemu kubwa ni misitu na vijiji vyake viko mbali mbali kidogo! !free notes izo
 
Kenya GDP yenu ni yakubashiri hakuna data ya uhakika yakuaminika!!mara 55,70 ww useme 80 jay aseme 100 sasa sio wizi huo ni nn...it's simple Tz now 51bln nyie yenu ni ipi hamueleweki
Tz hamjafika 48 b kawadanganye wamalawi na LDC wenzenu kina Afghanistan.
 
Rekebisha from 60 to GDP $80 b as at 2018. Hiyo 60 hamjafika nafikiri bado Mnang'ang'ania pale $42 b kwa hohe hahe.

ndezi ni cheo cha juu kabisa nitakutunuku.

kisha ya tz shusha kabisa ifike 13b,wala hatuna tatizo,ila 68b kisha kujiona nawe ni tajiri yafaa maombi ya kufunga siku 40,anyway umekula leo???maana milo mitatu kwa mkenya ni mtihani.
 
Mafara wengi Kenya hawajapanda ndege and some will never board ...vp kuhusu buses ambayo every one lazima atapanda? ??usiwe kiazi ww
Mafara ni mji Tz? I am sure only 1% of bongolalas washaipanda ndege that includes government officials and expatriates... Nyinyi wengine hata mikoani hajafanikiwa kutoka.
 
Mdogo wangu Mombasa 254 na ki itel chako uko wapi? Ndio umeamua kukimbia kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…