Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3 staffs from NSSF just came to our office to register our staffs and I asked the guy about their new building and he made a phone call asking " Our new building along Azikiwe , how many floors is it going to be? " He put the guy on loud speaker and he said "It was initially 35 floors but they decided to add more floors, I think its 40 or 50" not sure. So Mzizima tower is not going to be 35 , its going to be more than that.
 
Bongo majengo wanayojenga wanabadilisha sana, check hii, Pspf ilikua originally 32 floors, wakapeleka hadi 35, TPA ilikua 30, wakabadilisha ikawa 35 na sasa ni 40, im sure ni 40 kwa kuwa jamaa wafung lift walikua wanafanya installation 39th floor, uhuru heights ilikua 25, lakini wakapeleka hadi 27, samora tower 19 floors lakini wameenda hadi 23, MNF ilikua 20 na 18, sasa ni 32 , kwa hiyo ni safe kuamini kuwa mzizima inaweza kuwa zaidi ya hapo, Pia mwanzo kabisa mwyinyi aliwahi kusema kuhusu 50 floor kutoka NSSF
 
Sasa hapo siyo Nairobi. Kama vipi battle iwe ya Dar vs Nairobi + Mombasa
Hivi nilimwambia mwenzako hiyo ya dar hawezi linganisha na Nairobi Splash water world ndio nikampa alinganishe na hiyo ya Mombasa
 
Dar es salaam Mpya hiyooo
 
Dar es salaam Patamu sana
 
Tunaipenda Dar es salaam
 
Mr. Edwardo nakuona umejifungia sasa kwenye shimo.
 
Hii thread imekata mzizi wa fitina kwakwel,tumeona mengi
 
Vijana wa Nairobi naona mmejificha. Hii hapa ni Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…