Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Very poor packaging... Honestly guys you need to vist Nairobi... You have so much to catch up... Arnold is trying invain but hamsaidiki.
 
 
Very poor packaging... Honestly guys you need to vist Nairobi... You have so much to catch up... Arnold is trying invain but hamsaidiki.

ila wewe jamaa upuuzi ni ugonjwa mkubwa uko nao,umeamua ukosoe hata vifungashio maana huna point.

uliishawahi kujiuliza nini matumizi ya mfuko mzuri uliofungia mchele au sukari???[emoji2][emoji2][emoji2]au huwa mnawapa watoto wabebee madaftari kwendea shule
 

nikwambie kitu watz wengi hatuna utaratibu wa kuchukua taarifa hasa za vitu kama majengo.

si ajabu kabisa ukutane na mtz hajui jengo refu zaidi tz,ndio maana hata uzi huu umewashtua sana hata nyinyi wakenya,hamkuwahi kuwaza kuna vitu gani dar maana hamna wa kujitangaza.

hiyo taarifa inataja wingi wa majengo marefu,dar wanaandika ni 27 sijui wameangali urefu kuanzia metre ngapi??
 
You cant Understand because you live in acountry where competition is child play.
ila wewe jamaa upuuzi ni ugonjwa mkubwa uko nao,umeamua ukosoe hata vifungashio maana huna point.

uliishawahi kujiuliza nini matumizi ya mfuko mzuri uliofungia mchele au sukari??? au huwa mnawapa watoto wabebee madaftari kwendea shule
 
In kenya Retail Biz is big only second to S.A, you have to package your products for you to qualify to penetrate the market..
 
SSC inawatanzania wengi wenye marifa kuhusu Tz na wanachangia sana..

SSC haina utoto mwingi ulio hapa
 
Hakuna sukari hapo bali ni grains kama maharage na ndegu.
mimi sijaona cha maana zaidi visukari robo kilo kwenye tumfuko tudogooo na vimaharagwe.

so hapo unanunua mfuko au cane si ndio???,maana wewe unashindwa kufahamu kwamba gharama kubwa ktk uzalishaji in push bei,hasa kwa vitu vya kipuuzi kama mfuko.
 
For that sake why ur loved mombasa is not in the list????so is the list biased or simply mombasa is joke???answer plz

Mombasa was never included seems no kenyan seems to bother.. but you can check on Emporis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…