Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oooh nikiongeza tu, if the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. Then in terms of cities, Dar ina bandari and Kenya doesn't.
 

vip walikufukuza baada ya juzi kukamatwa miongoni mwa ombaomba au ilikuwaje ukarudi???
 
CC ichoboy01 tuusan mulisaaa mkorinto
 
Oooh nikiongeza tu, if the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. Then in terms of cities, Dar ina bandari and Kenya doesn't.
Afuu unawezaje compare coastal city na inland city kwa kusema Nairobi Hamna bandari?so did you expect Nai to have one?Karibu kua makini apa hatutak story Za kitoto
 
Sasa waje Kenya kufanya nn buda?lakin kibera msiivunje inaweza saidia kukuza utalii
sasa mmeamka kwnye utalii 2012 we unaongea nn?😀😀😀😀ebu sarch data ya Kenya tourist arrivals from 2005 to 2015 ujionee...tz is just a second choice
 
give us clear zones from an aerial view yawa....coz it's the same buildings at 3 different paranomic views

Same buildings? 😀😀😀😀😀 nilijua tu hamtaamini macho yenu tena hilo eneo lote linaonekana hivi chini. yaani hili eneo ni 10 Kms from City center kutoka majengo mnayoyajua ambayo ni PSPF, TPS, BOT twin towers etc.

Hiyo ni kijitonmyama ina majengo kadhaa kama PPF HQ, Milenium towers, Paloma Paloma park, Morocco square, Ivory towers, Noble Victoria, Tan House etc.

The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
 
Afuu unawezaje compare coastal city na inland city kwa kusema Nairobi Hamna bandari?so did you expect Nai to have one?Karibu kua makini apa hatutak story Za kitoto
wacha hasira ww....jamaa amekwambia ukweli wa mambo...
 
sasa hii ndio nn nawe?? we huoni aibu kupost picha kama hii ilio na majengo ya kuhesabika na gaps kubwa kubwa kati kati...tafta similar pics za miji ya baharini kama Cape town, abidjan, Dakar, na Luanda ujionee..picha zilizochukuliwa from that angle
 
Wewe pimbi unaejifanya unaijua Nairobi na Dar es salaam pitia hapa. Alafu unaanza kulinganisha miji na hali ya hewa. Unaongeleaje Dubai penye joto au UK penye baridi. Nani kakwambia humu tupo kwenye utabiri wa hali ya hewa?? Usifanye unaijua Dar mbona huongeleï service kama BRT pimbi ww. Sisi humu tunaongea na evidence sio maneno ya kwenye kanga ambayo hata Somalia yapo. Toa evidence tutoe evidence. Humu atuongelei wasanii, soma tittle ya thread, its about Dar vs Nai. Point of collection
 
unafaa uishi nairobi hata wiki moja tu...weather shwari kabisa..huko Dar sijui huwa mnaishi aje huko..nchi yenye joto kana kwamba mpo kwenye oven...hivi nikuulize, watu huwa wanavaa suti wakienda kazi kweli na joto hilo lote??
 
 
Stop comparing the currency and weather to development Saudi Arabia, Oman, UK and many other countries wako na bad weather condition lakini hakuna nchi hapa Africa inayo wafikia. Nchi pia kama Rwanda na Zambia currency zao ziko juu ya Tanzania lakini hazijafikia hata nusu ya maendeleo ya TZ. Mkuu point zako zakitoto kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…