Pamoja na hilo la ugaidi,,lakini kubwa zaidi linaloongeza idadi ya Watalii ni Tz kuongeza nguvu ktk kujitangaza,bila kusau uboreshaji wa miundombinu kwenye eneo la utalii.!utalii wa tz umekua kwa sababu ya ugaidi toka jirani somalia...no other reason bro...let me make that clear...watalii waliokua wakija nchini walianza kuogopa and sinc tz also has similar wildlif (big Five), they started flocking ur country...na hiyo ni 2012 juzi tu...before then tumekuwa tukiongoza...ila ukitaka kubisha bisha tu...bora tu usitoe data puani kama ilivyo mazoea😀😀😀
utalii wa tz umekua kwa sababu ya ugaidi toka jirani somalia...no other reason bro...let me make that clear...watalii waliokua wakija nchini walianza kuogopa and sinc tz also has similar wildlif (big Five), they started flocking ur country...na hiyo ni 2012 juzi tu...before then tumekuwa tukiongoza...ila ukitaka kubisha bisha tu...bora tu usitoe data puani kama ilivyo mazoea😀😀😀
Tanzania ndio nchi ya kwanza barani Africa kupurchase Bombardier CS 300 SeriesFYI,the C-series is the largest of Bombadier with max.of only 150pax. Kama hiyo ndio kubwa then your ambitions are dwarfs!
so what?? countries like ethiopia and SA are buying kutoka Boeing na kampuni zingine with the same quality...Tanzania ndio nchi ya kwanza barani Africa kupurchase Bombardier CS 300 Series
Tanzania ndio nchi ya kwanza barani Africa kupurchase Bombardier CS 300 Series
Mbona mvivu hivoo, check point A and Bgive us clear zones from an aerial view yawa....coz it's the same buildings at 3 different paranomic views
Zenu ni vibanda vya ugorotupunguze jokes bro plizz😀😀😀😀😀hivi unajua ni nchi ngapi zina direct flight hapa Afrika??? Kenya imepata 2018...Nigeria walipata 2015....sasa tz airports nikama vibanda vya kuku mnafikiri ni nchi ipi itawakubalia direct flights?
Watakimbia ofcoz, ukibishana na mjinga sana pia wewe utakua mjinga.jipe moyo tu😀😀😀😀 walikimbia wenzako wakina wanjala
so what?? countries like ethiopia and SA are buying kutoka Boeing na kampuni zingine with the same quality...
Same same but different.TWO DAR CITY SKYLINES
1.Downtown CBD
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
2. Upcoming Kijitonyama
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
magufuli anapochagua kitu ogopa. Ni mtu wakufanya researchso what?? countries like ethiopia and SA are buying kutoka Boeing na kampuni zingine with the same quality...
Huna point hua unaandaa majarida tu humuGood gracious! Before ''dreamlining'' of flying to USA first work on capacity building to meet the best of aviation industry practices. Europe could be the best to gauge the waters if at all first you can fulfill EU stringent safety standards. Forget US for the next coming one decade or so if lucky!
Sasa waje Kenya kufanya nn buda?lakin kibera msiivunje inaweza saidia kukuza utaliiHe should know that Tz only comes as a second choice! Wildlife Safaris will forever be associated with Kenya no matter what and the spill-over of Somali crisis as you rightly put it is what makes Tz a considerable distant option. Ask Americans or Europeans of their dream African Safari and Kenya is always on their lips.
Congrats! Brace yourselves for after-sales-services hoping you have enough trained expertise for maintenance. At your stage,you should have acquired tried and tested aircraft with enough back-up engineering servicing crew in this region like the B737s or the Embraer. Good luck with maintenance cost of those CS300-s
Now your talking!!Congrats! Brace yourselves for after-sales-services hoping you have enough trained expertise for maintenance. At your stage,you should have acquired tried and tested aircraft with enough back-up engineering servicing crew in this region like the B737s or the Embraer. Good luck with maintenance cost of those CS300-s
Kq inajiendesha Kwa faida?Most of the people who comment under this thread wana ile ushabiki wa nchi yake lakini hawaongei ile hali halisi. Na worts is, wengi wanaozungumza hawajawahi tembelea hizo nchi mbili zote na wala hawajafanya research.
I have been in Nairobi and believe me ni pazuri kuliko Dar, thats the truth, tukubali tusikubali ndio ukweli.
Kwanza hali ya hewa kule ni nzuri kuliko Dar (which is no one's fault), Pesa yao iko vizuri, unaenda sokoni unapata kitu kinauzwa shillingi 45 Kenyan shillings wakati sisi tulishaacha na kutumia shillingi tano hadi zile shillingi ishirini na shillingi kumi, Airport ya Kenya ni nzuri na ni ya kamataifa kuliko ya Tanzania, Kenya kuna democracy ambayo hatuwezi linganisha na Tanzania nzima, Kenya wanafata sheria zao ambapo Tanzania unaweza kamatwa na huna kosa na bado ukazuiliwa dhamana na usitoke. Mwisho kabisa Kenya Airways ni moja kati ya the best Airline in the whole of Africa mean while Air Tanzania inaendeshwa kwa hasara. And the list goes on.
Tanzania kwa upande mwingine. tunasifiwa kwa kuwa na the largest shopping Market in East Africa that is Kariakoo.
Pamoja na yote bado am still a proud Tanzanian.
Remember that Kenya is a settlers country. You have many investors investing in yoir country while more that 70% of Dar es salaam is built on domestic success.OOOOH! Now I know you guys just love to compare yourselves with us, maybe to console yourselves that you are close. After we beat you in a thread you sensationally come up with another one, We are better than you in every possible way and you know it. Maybe this thread will make you happy for a moment but after several posts you will open another one. I am sure it is not your memory. We have like 10 threads already showcasing this things.
Hali ya hewa inahusu?sijaona point bado...Most of the people who comment under this thread wana ile ushabiki wa nchi yake lakini hawaongei ile hali halisi. Na worts is, wengi wanaozungumza hawajawahi tembelea hizo nchi mbili zote na wala hawajafanya research.