ok lets watch the game and see ila usije nikimbia badae tafadhali sanaππππPwahaahahhaa....ndege zenu zitapaa EA pekee yake....direct flights za USA msahau...mjipe miaka kama 10 hivi...kwa hiyo, American tourists will pass here in Nairobi to connect to those planes...Mungu ibariki tnzaniaππππ
Ndege zifike kwanza ndio route zipangwe...yani huna unga alafu unawaza mboga?haya ebu niambie mna route zipi... za kwenda marekani, ujerumani, UK mnazo???ππππtuelwane hapa...watalii wnu wengi wanatoka nchi hizi...
while our frens are still struggling to get their first flyover in the entire country,
i cant even count the number of flyovers in nairobi
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
maoni yako tuπππunless you bring data...kwanza baada ya Raila kuhamasisha wafuasi waache kutumia safaricom unafaa kuwa hapa ili uone vile Airtel waliuza sim card...data usitoe matakoni kakaππππmm nimekaa kenya ndugu ushidani wa mitandao wa simu kenya hakuna ππππ
ukewli huo na ndio maana nikakwambia hata ndege zifike leo, watalii wenu bado watapitia Nairobi...tukubaliane kwa hilo sawa?Ndege zifike kwanza ndio route zipangwe...yani huna unga alafu unawaza mboga?
Wewe ndio umesema lakin as long utalii uko hapa na ndege itakuepo sasa tuliza izo mihemkoPwahaahahhaa....ndege zenu zitapaa EA pekee yake....direct flights za USA msahau...mjipe miaka kama 10 hivi...kwa hiyo, American tourists will pass here in Nairobi to connect to those planes...Mungu ibariki tnzaniaππππ
heheh huo ni ukabila sasaππππmaoni yako tuπππunless you bring data...kwanza baada ya Raila kuhamasisha wafuasi waache kutumia safaricom unafaa kuwa hapa ili uone vile Airtel waliuza sim card...data usitoe matakoni kakaππππ
Kenya waje kukufata ww auukewli huo na ndio maana nikakwambia hata ndege zifike leo, watalii wenu bado watapitia Nairobi...tukubaliane kwa hilo sawa?
Kenya waje kukufata ww auukewli huo na ndio maana nikakwambia hata ndege zifike leo, watalii wenu bado watapitia Nairobi...tukubaliane kwa hilo sawa?
ok lts watch the gameok lets watch the game and see ila usije nikimbia badae tafadhali sanaππππ
sasa hamna direct flights watapitia wapi...mbona nikama nazungumza na mti??ππππKenya waje kukufata ww au
sasa Air tanzania iende na kq iende yani mtu anakuja serengeti apande KQ πππ hata kama ni wewe, simple logic broukewli huo na ndio maana nikakwambia hata ndege zifike leo, watalii wenu bado watapitia Nairobi...tukubaliane kwa hilo sawa?
halotel ndio mnyama upi sasa bro?πππebu tuwache jokesheheh huo ni ukabila sasaππππ
but infact tanzania kuna ushindani mkali sana tena sana wa mitandao ya sim kama huyu halotel ndio kaja kuharibu kabisa anawakimbiza mbaya
tunategemea ndege mwezi wa sita na saba na flights zitaanza wa saba au wananesasa hamna direct flights watapitia wapi...mbona nikama nazungumza na mti??ππππ
ndege watapanda KQ kutoka New York kisha wapande ndege za tz hapa Nairobi...mbona hulewi simple logic bro?sasa Air tanzania iende na kq iende yani mtu anakuja serengeti apande KQ πππ hata kama ni wewe, simple logic bro
huku tanzania kuna kampuni ya wachina inaitwa halotel inakimbiza sana ππππhalotel ndio mnyama upi sasa bro?πππebu tuwache jokes
Hiyo ndio company yenye expensive price of GB the rest of others ni 45-50 US$ per GB.hapa Kenya ukitumia Orange ni 99 cents...whats the difference?
labda hujui maana ya kununua boeing 787 dreamliner mbiliπππ tuanaanzisha direct flight to USA, europe na chinandege watapanda KQ kutoka New York kisha wapande ndege za tz hapa Nairobi...mbona hulewi simple logic bro?