Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Hahahaha...hizo ndege hazina umuhimu wowote wakati hamna direct flights kwenda tourist destinations kama USA...usifikiri mtalii kutoka Marekani atapanda ndege kwenda kuunganishia Dubai ndio aje Dar ilhali ana option ya kupitia Nairobi....kwa hivyo, ndege yes mmenunua ila direct flights hamnaππππ....watalii watapitia Nairobi tu mpende msipendeπππNil...
usiwe huelewi. ..kabla hatujamaliza huu mwaka ndegezitakua zimefika na kuanza kazi...wakat tunasubiri pinaccle 2075 itakua imeisha
sawa hao ni wa kutoka Europe...what abt USA???πππkumbuka market yenu kubwa ya watalii ni Europe na USA...watapita vp mtu anatoka europe aache kupanda KLM inakuja mpaka kilimanjaro direct apande KQ huu siutakua uwendawazimuππππ
how much is 1 GB price kwanza...anzia hapo
muda upi? pengine nikuulize, tanzania ina direct flights kwenda USA, UK, Germany???? ππππ sisi tunazo na watalii watapitia tu nairobi mpende msipende...
Shukrani...good work
hapa Kenya ukitumia Orange ni 99 cents...whats the difference?
USA hamujaanza kwenda bro usitukane mamba mto hujavuka flight yenu ya kwanza ni october kumbuka october Air tanzania itakua na 787 kwa ajili ya safari za china europe na americaππππsawa hao ni wa kutoka Europe...what abt USA???πππkumbuka market yenu kubwa ya watalii ni europe na USA
how much is 1 GB price kwanza...anzia hapo
dirct flights brathe....kama hamna direct flights hizo ndege ni bure tu...zitakuwa zinapaa EA tu...Shukrani...
btw mwaka huu tuaongeza MNF tower 30 Flr Γ2 mwaka huu uje kwenye 5*hotel downtown Dsm
MZIZIMA towers 37flr, 33flr hizi ni nyumba zinaoffice ,makazi na shopping spaces, migahawa na kadhalika ni mwaka huu...bila kusahau PPF tower 53flr nadhan ukihesabu unaweza jikadiria jinsi mnapumulia machine mwaka huu . ..
Nakumbusha tuu ndege zaja mwaka huu n JNIA terminal 3 itaanza kutumika mwaka huu....karibu sana Dar
orange nao mtandao au unasindikiza tuπππhapa Kenya ukitumia Orange ni 99 cents...whats the difference?
watu washaanza kununua tiketi pole sana broπππ....October si mbali ndugu...tumesubiri hizo dirct flights tangu 2010...miaka saba...USA hamujaanza kwenda bro usitukane mamba mto hujavuka flight yenu ya kwanza ni october kumbuka october Air tanzania itakua na 787 kwa ajili ya safari za china europe na americaππππ
kwani unafikiri natumia mtandao upi sasa hiviπππ....natumia mitandao ya Orange na Safaricom...wakati mwingine natumia Airtel...sema tu Safaricom ndio bei ghali ila mitandao kama Airtel ni cheap...orange nao mtandao au unasindikiza tuπππ
safaricom hana mpinzani kenya
Sasa kati ya route na ndege ni kipi huanza??usiwe kama huelewidirct flights brathe....kama hamna direct flights hizo ndege ni bure tu...zitakuwa zinapaa EA tu...
kununua ticket sio kwenda bro tofautisha hapo safari ni hatua, october Air tanzania itakua na ndege za kwenda nje kumbuka ππwatu washaanza kununua tiketi pole sana broπππ....October si mbali ndugu...tumesubiri hizo dirct flights tangu 2010...miaka saba...
haya ebu niambie mna route zipi... za kwenda marekani, ujerumani, UK mnazo???ππππtuelwane hapa...watalii wnu wengi wanatoka nchi hizi...Sasa kati ya route na ndege ni kipi huanza??usiwe kama huelewi
wanakua cheap kwasababu hawana wateja heheππkwani unafikiri natumia mtandao upi sasa hiviπππ....natumia mitandao ya Orange na Safaricom...wakati mwingine natumia Airtel...sema tu Safaricom ndio bei ghali ila mitandao kama Airtel ni cheap...
hayo ni maoni yakoπππnilikwambia data usiwe unatoa puaniπππwanakua cheap kwasababu hawana wateja heheππ
ushidani wa mtandao kenya hakuna
Pwahaahahhaa....ndege zenu zitapaa EA pekee yake....direct flights za USA msahau...mjipe miaka kama 10 hivi...kwa hiyo, American tourists will pass here in Nairobi to connect to those planes...Mungu ibariki tnzaniaππππkununua ticket sio kwenda bro tofautisha hapo safari ni hatua, october Air tanzania itakua na ndege za kwenda nje kumbuka ππ
mm nimekaa kenya ndugu ushidani wa mitandao wa simu kenya hakuna ππππhayo ni maoni yakoπππnilikwambia data usiwe unatoa puaniπππ