Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahah hio ndio faida ya ku lease aircrafts ndio maana loss imewakombatia kama kupe kwenye ngozi 5 good years inawatafunaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

mulipoona maji yamezidi unga mkaamua kurudisha ndege za watu zikiwemo 787 dreamliner na 737 plus embraer
 
Kumbuka hakuna mtu atapitia Nairobi ili aje tz for that sake...lakini labda utaelewa mambo yakianza. ..nikuache
ni sawa tu kwani pia nasi tuna launch new links...ila usijarib kufananisha hayo magofu yenu bombadier na airline iliokomaa kama KQ...kisha nikukumbushe hamna direct flights kwenda USA ana UK...kwa hiyo watapitia tu hapo Nairobi upnde usipende
 
hapo nawapongeza sana...cheap data....ila ukiwauzia maskini nchi LDC data ya bei ghali unatumia akili kweli?? si nikuwakandamiza watu wanaoishi kwa umaskini wa kutupwa
na unajua sababu ya cheap data kwasababu kuna ushindani mkali wa telecomunications companies

tanzania kuna telecommunications 8 zote zinaushindani wa hali ya juu sio kenya safaricom hana mpinzani kabisa
 
hapo nawapongeza sana...cheap data....ila ukiwauzia maskini nchi LDC data ya bei ghali unatumia akili kweli?? si nikuwakandamiza watu wanaoishi kwa umaskini wa kutupwa
Mamlaka husika ndio zinawabana hayo nakampuni bei zisipande hovyo,laa sivyo tungekomeshwa
 
watu wanajigamba na utalii meanwhile watalii wanabbwa na ndege za njeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
11h 15m duration, 1+ stops
Dar es Salaam, Tanzania (DAR) to London, United Kingdom (all airports)
11h 15m+
KLM
via Amsterdam
11h 35m+
Kenya Airways, British Airways
via Nairobi
11h 45m+
SWISS
via ZΓΌrich
12h 40m+
Kenya Airways
via Nairobi
13h 45m+
Turkish Airlines
via Istanbul
 
na unajua sababu ya cheap data kwasababu kuna ushindani mkali wa telecomunications companies

tanzania kuna telecommunications 8 zote zinaushindani wa hali ya juu sio kenya safaricom hana mpinzani kabisa
ukweli
 
FYI,the C-series is the largest of Bombadier with max.150pax. Kama hiyo ndio kubwa then your ambitions are dwarfs!
Ni kubwa in comparison with q-400 na sio kubwa kushinda ndege zote get that point first, hizo zinakuja kwa ajili ya bara la Africa, flight zote site Africa to and fro tunaanza nazo, kwa mabara mengine dreamliner ndio itakwenda
 
zikwapi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kisha uniambie ndege zipi hizo za tanzania sijawahi kuziskia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
elewa kiswahili nimekwambia international airlines zinakuja direct to zanzibar, dar and kilimanjaro zikiwemo
KLM, turkish, fly dubai, emirates, etihad, qatar, SA, etc
 
elewa kiswahili nimekwambia international airlines zinakuja direct to zanzibar, dar and kilimanjaro zikiwemo
KLM, turkish, fly dubai, emirates, etihad, qatar, SA, etc
Pwahahahaaha..you are making my point for me....hivi nikuulize, kati ya hizi airline ulizotaja, za Tanzania ni zipi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
meanwhile ndege hizo hizo nio zinawabebea watalii...yaani mna chekesha sana nyieπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€watalii asilimia 99 wanabebwa na ndege za njeπŸ™πŸ™πŸ™

Ni muda sasa mtuachie jukumu letu au unasemaje???
 
Ni muda sasa mtuachie jukumu letu au unasemaje???
muda upi? pengine nikuulize, tanzania ina direct flights kwenda USA, UK, Germany???? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sisi tunazo na watalii watapitia tu nairobi mpende msipende...
 
Pwahahahaaha..you are making my point for me....hivi nikuulize, kati ya hizi airline ulizotaja, za Tanzania ni zipi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nil...
usiwe huelewi. ..kabla hatujamaliza huu mwaka ndegezitakua zimefika na kuanza kazi...wakat tunasubiri pinaccle 2075 itakua imeisha
 
Pwahahahaaha..you are making my point for me....hivi nikuulize, kati ya hizi airline ulizotaja, za Tanzania ni zipi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tanzania ndio tumeanza kua serious kwenye airline ndio maana tumenunua 7 aircrafts cash deal tukitaka kurudisha safari za nje ya tanzania na africa ndio maana. tumeanunu cs 300 mbili kwa ajili ya safari za within africa na 787 boeing mbili kwa safari nje ya africa
 
muda upi? pengine nikuulize, tanzania ina direct flights kwenda USA, UK, Germany???? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sisi tunazo na watalii watapitia tu nairobi mpende msipende...
watapita vp mtu anatoka europe aache kupanda KLM inakuja mpaka kilimanjaro direct apande KQ huu siutakua uwendawazimuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…