Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

meanwhile ndege hizo hizo nio zinawabebea watalii...yaani mna chekesha sana nyieπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€watalii asilimia 99 wanabebwa na ndege za njeπŸ™πŸ™πŸ™
 
hata si jambo la kucheka...ni jambo la huzuni sana...sasa mnajigamba kufufua airline 2018 wengine kama SAA, KQ na Ethiopian airlines tufanyeje?
Kumbuka hakuna mtu atapitia Nairobi ili aje tz for that sake...lakini labda utaelewa mambo yakianza. ..nikuache
 
meanwhile ndege hizo hizo nio zinawabebea watalii...yaani mna chekesha sana nyieπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€watalii asilimia 99 wanabebwa na ndege za njeπŸ™πŸ™πŸ™
kuna direct flights kutoka nchi nyingi sana tena bahati nzuri zipo zinatua zanzibar, dar na kilimanjaro direct flights πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Can you get your facts right! The 6 a/c were leased off by KQ hence generating revenue instead of flying with less optimum capacity. That way they put the equipment in a viable mode than escalating operations cost or having them parked idle (A profitable aircraft is the one in the skies). Learn something!
 
kuna direct flights kutoka nchi nyingi sana tena bahati nzuri zipo zinatua zanzibar, dar na kilimanjaro direct flights πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
zikwapi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kisha uniambie ndege zipi hizo za tanzania sijawahi kuziskia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…