Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
usiwe unatoa data puani ama matakoni nduguππππ watalii wanaopitia Kenya ni zaidi ya millioni 4 kila mwaka, wengi wao huwa wanaingia jijini kulala hata kama ni kwa usiku mmoja kisha wanafululiza kwenye destinations wanazotaka afrika mashariki...nchi kama Uganda haina airline hivyo watalii asilimia 90% na zaidi wanatua nairobi kwanza...this is the same for Tanzania, Rwanda etc...Inamaanisha all international arrivals ni tourists bro mbona aibu haikuachiππππ
Tanzania imepokea 2m only tourist wachana na other international arrivals my friend
Kwenye suala la tourism hilo sahau halitarudi
Hahaha hio ni source au maoni ya mtuππnikaskia tena mwarab mjinga akisema tourism receipts Kenya 2017 ni $350 mlnπππ
that is $1.19 Billion in a year that was full of chaos, drought and elections
Najib Balala, the minister for tourism in Kenyaπππ.mwarab nakushauri uwe unatoa data officialππ...tukifanya statistics za utalii kwanzia 1990s mpaka leo, we lead both in trms of receipts and tourist numbers...utalii wa tanzania umekua tu juzi...kwanzia 2012...sababu kubwa ni magaidi wa somalia...Hahaha hio ni source au maoni ya mtuππ
Leta wewe data sasa unaniletea source za twitter upuuzi tu, endelea kujipa moyo kua tourist wanatua nairobi, wakat kuna direct flight of zanzibar and kilimanjaro more than 10 international airlines wachilia mbali dar es salaam...... usilete mawazo ya 90s wakati tuko 2018usiwe unatoa data puani ama matakoni nduguππππ watalii wanaopitia Kenya ni zaidi ya millioni 4 kila mwaka, wengi wao huwa wanaingia jijini kulala hata kama ni kwa usiku mmoja kisha wanafululiza kwenye destinations wanazotaka afrika mashariki...nchi kama Uganda haina airline hivyo watalii asilimia 90% na zaidi wanatua nairobi kwanza...this is the same for Tanzania, Rwanda etc...
Huyo mpuuzi najib balala namjua vzr sana na huyo ndio alieua tourism kwenu πππNajib Balala, the minister for tourism in Kenyaπππ.mwarab nakushauri uwe unatoa data officialππ
zaidi ya asilimia 70 ya watalii wa tz wanapitia Nairobi...ukweli ndio huio...maumivu yakizidi, muone dktπππLeta wewe data sasa unaniletea source za twitter upuuzi tu, endelea kujipa moyo kua tourist wanatua nairobi, wakat kuna direct flight of zanzibar and kilimanjaro more than 10 international airlines wachilia mbali dar es salaam...... usilete mawazo ya 90s wakati tuko 2018
utalii uliporomoka kwa sababu ya ugaidi...usimsingizie mwarab mwenzako broπππHuyo mpuuzi najib balala namjua vzr sana na huyo ndio alieua tourism kwenu πππ
Leta wewe official source hehe we ulijua international arivals wote ni touristsππ
Soma hapa ujue dunia ilipofikausiwe unatoa data puani ama matakoni nduguππππ watalii wanaopitia Kenya ni zaidi ya millioni 4 kila mwaka, wengi wao huwa wanaingia jijini kulala hata kama ni kwa usiku mmoja kisha wanafululiza kwenye destinations wanazotaka afrika mashariki...nchi kama Uganda haina airline hivyo watalii asilimia 90% na zaidi wanatua nairobi kwanza...this is the same for Tanzania, Rwanda etc...
Husika hapa ujue dunia inaenda wapiutalii uliporomoka kwa sababu ya ugaidi...usimsingizie mwarab mwenzako broπππ
that is right...but it happened only in 2012 I think....kwanzia 2011 kurudi nyuma mpaka 1990s, Kenya imkuwa ikiongoza licha ya kwamba tz ina vivutio zaidiππππ...yaani LDc ni ugonjwa bro
hivi umesoma kweli hio link ulionipa?Husika hapa ujue dunia inaenda wapi
Tanzania overtakes Kenya as regional tourism hotspot
https://www.ippmedia.com/en/news/tanzania-beats-kenya-regional-tourism-hotspot
that is right...but it happened only in 2012 I think....kwanzia 2011 kurudi nyuma mpaka 1990s, Kenya imkuwa ikiongoza licha ya kwamba tz ina vivutio zaidiππππ...yaani LDc ni ugonjwa bro
Soma wewe hehehe kenya haitaweza tena kushindana na tanzania kwenye utalii hio sahau bro tuongee mengine lakini sio utaliiππhivi umesoma kweli hio link ulionipa?
Tanzania, famed for its pristine beaches and safari parks beneath snow-capped Mount Kilimanjaro, has always played second-fiddle to Kenya which has a more developed tourism industry and better air links to key markets in Europe and United States
soma hapo in bold
my friend, history plays crucial role in a nations future....ukweli ni kwamba utalii wenu uko chini sana...haijafikia level ambayo inafaa iwe imefikia...yaani mnashindwa na nchi kama Botswana na Zimbabwe katika utalii licha ya kuwa na vivutio bora zaidi barani baada ya Misriππππhuo utakuwa ni ujinga wa hali ya juuDunia hairudi nyuma nduguπππ
2017 tumepokea watalii pekee zaidi ya 2m
Mpaka 2025 tunatarajia kupokea watalii 16m
Tanzania challenges violence-hit Kenya as regional tourism hub
maumivu haya broπππ..ukweli ndio huo..Soma wewe hehehe kenya haitaweza tena kushindana na tanzania kwenye utalii hio sahau bro tuongee mengine lakini sio utaliiππ
Utalii watanzania umeanza kutangazea juzi tu na kikwete ndugu, kikwete alizunguka dunia nzima kutangaza utalii so unaeza imagine 2017 tanzania imepokea watalii over 2m na eka akilini 2025 tanzania itapokea 16m tourists kazi imeanza .. botswana wanategemea sana utalii kuliko kitu kinginemy friend, history plays crucial role in a nations future....ukweli ni kwamba utalii wenu uko chini sana...haijafikia level ambayo inafaa iwe imefikia...yaani mnashindwa na nchi kama Botswana na Zimbabwe katika utalii licha ya kuwa na vivutio bora zaidi barani baada ya Misriππππhuo utakuwa ni ujinga wa hali ya juu
Hakuna maumivu kabisa huo ndio ukweli naokupa kwenye utalii hio sahau tena ππmaumivu haya broπππ..ukweli ndio huo..
7 wonders of africamaumivu haya broπππ..ukweli ndio huo..
Mkuu hizo zote ni fly over kwa tafsiri ya flyover. A flyover is a bridge carrying one railway or a road over another.Usiwe mshamba thika road haina flyover ni interchange hizo hata Dar zipoView attachment 692654 View attachment 692655 View attachment 692656