Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wait...what is this obsession with flyovers in tz?😀😀😀😀aren't these things even in Sonalia?😀😀😀flyover (barabara iliyoinuliwa juu ya barabara ingine) ni kitu ya kujigamba nayo kweli?...flyovers are just overpasses
 
Tuĺia sindano ikuingie. Hi ni news ya leo
 
you should see what the Japanese have don to Ngong Rd...I think we should award tenders to Japan instead of China...
 
Tuĺia sindano ikuingie. Hi ni news ya leoView attachment 692515
flyover sio kitu ya kujigamba nayo...this is third world mentality...ndio maana waafrika tuko nyuma tu...first world wanafikiri mambo kama health insurance na universal salary sisi hapa tunajigamba na flyover....fikiria mchina, mwafrika kusini ama mfaransa akijigamba na flyover😀😀😀😀 wakati mwingine inafaa tujaribu tuwaige hawa jamaa haswa katika maendeleo...
 
We nae unalia sana😀😀😀😀😀
 
We nae unalia sana😀😀😀😀😀
i think even you know I am right...look, its great that you are building those things but it is embarrassing kujigamba gamba kana kwamba hivi ni vitu ambavyo havipo duniani...third world mentality😀😀😀 hivi vitu vipo kila mahali Nairobi ndio maana nashangaa sana
 
Mbona huwa mnazirudia picha hizi hizi??
thread ni kubwa....mtu mmoja akipost picha flani jioni pengine hana habari mtu mwingine alishaipost asubuhi...I think thats common sense brathe...ama unataka kusema hakuna picha hata moja ya toka kwa wenzako imerudiwa hapa hata kama ni mara mbili tu? common sense is very common
 
thread ni kubwa....mtu mmoja akipost picha flani jioni pengine hana habari mtu mwingine alishaipost asubuhi...I think thats common sense brathe...ama unataka kusema hakuna picha hata moja ya toka kwa wenzako imerudiwa hapa hata kama ni mara mbili tu?
Poa poa jirani karibu Dar, wiki hii hakuna jua kali.
 
Poa poa jirani karibu Dar, wiki hii hakuna jua kali.
asante...kwanza mi napenda weather baridi baridi vile kwani huwa na sweat sana...inabidi nitumie AC nyumbani hata hapa Nairobi kwa baridi...ila naja subiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…