El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
cooked economyππππ maana mumezoea kudanganya hamkujua kama munadanganya nafsi zenu sasa leo deni limefika 60% of ur GDP danganyeni na hio sasaπππππ niliskitika niliposkia mumefkia hatua ya kukopa loan ilipe debt munaingiza nchi kwenye double interest rate alaf munasema muna uchumi labda neno economy limepoteza maana yake
sio kwenye chakula, nchi yoyote duniani inayoendelea haiwez kufkia hatua chakula ikawa ni tatizo sugu lisilokua. na tiba, saudi arabia ni jangwa lakin huwez kuskia njaa ni tatizo, ukiona nchi imeshindwa kupambana na njaa kwa lugha nyepes inaitwa failed statemwaka jana 2017. Mbona hampendi ukweli watanzania? Sisi hakuna mahali tumekataa kwamba hatuna changamoto ya chakula hadi tukasema mahindi tulinunua as far as mexico and Brazil. Mbona nyinyi mnajiona kama taifa ambalo halina kasoro? Kama mko na shida ya chakula si hoja coz that's a global problem, more so in developing countries.Yafaa mkubali tu kwamba ni shida lakini mnashugulikia muwezavyo. This habit of living in denial ni mbaya.
Ndio maana nimekuambia unipe hiyo link ya uncooked economy na ukashindwa. Sasa si unyamaze tu coz ni dhahiri kwamba hauelewi wala kujua unachosema. Ungekuwa unajua unachosema ungeleta hapa hiyo link fumaluze hii story. Hata ile ya port of Dar pia ulihepa tu hivyo. Unachangia mada kutumia hisia sana kijanacooked economyππππ maana mumezoea kudanganya hamkujua kama munadanganya nafsi zenu sasa leo deni limefika 60% of ur GDP danganyeni na hio sasaπππππ niliskitika niliposkia mumefkia hatua ya kukopa loan ilipe debt munaingiza nchi kwenye double interest rate alaf munasema muna uchumi labda neno economy limepoteza maana yake
Nacheki ile barabara yetu moja.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denialsShida ni kwamba mnaendelea kufa kwa njaa, hata mkipanda zaidi. Ila kwasababu maisha uhai wa mkenya hauna thamani, hilobhaliwastui. Thamani ya uhai wa mtanzania mmoja ni sawa na wakenya wanne[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
I like teasing the guy I know He got nothing to show except for the usual tantrum throwing disease.huyo anatapatapa tu.. atatulia alale
sio kwenye chakula, nchi yoyote duniani inayoendelea haiwez kufkia hatua chakula ikawa ni tatizo sugu lisilokua. na tiba, saudi arabia ni jangwa lakin huwez kuskia njaa ni tatizo, ukiona nchi imeshindwa kupambana na njaa kwa lugha nyepes inaitwa failed state
sikutegemea ungeongea kwa jazba hvoπππWorld bank and imf has its team of experts in every corner of the world...............You hardly beat Kenya in roads...airports.. housing...education....industries.....middle class yet still live in denial . ....why can't you be like your Ugandan neighbours and give yourselves a break instead of chasing your own shadows.
You know nothing on those areas, Tanzania is far ahead on many if not all those parameters you have mentioned above, get up-to-date data za mwaka 2017 utashangaa. Wakati mnapigana kutokana na ukabila, siasa za kijinga zisizokwisha, na corruption iliyokithiri, sisi tunajenga nchi kwa kasi sana, lete data za 2017 kama hutochanganyikiwa.World bank and imf has its team of experts in every corner of the world...............You hardly beat Kenya in roads...airports.. housing...education....industries.....middle class yet still live in denial . ....why can't you be like your Ugandan neighbours and give yourselves a break instead of chasing your own shadows.
Jinsi mlivyoshindwa hapa.sio kwenye chakula, nchi yoyote duniani inayoendelea haiwez kufkia hatua chakula ikawa ni tatizo sugu lisilokua. na tiba, saudi arabia ni jangwa lakin huwez kuskia njaa ni tatizo, ukiona nchi imeshindwa kupambana na njaa kwa lugha nyepes inaitwa failed state
ukweli gani wakat tanzania inflation is 4% huku kenya inflation is over 11% sasa hapo kuna ukweli ganiππππ unakua kama sio msomiJinsi mlivyoshindwa hapa.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
Continue living in denial danganyikans. Hamupendi sansa kusikia ukweli wowote kuhusu chi yenu
Hebu tuletee hizo up-to-date data tuone.You know nothing on those areas, Tanzania is far ahead on many if not all those parameters you have mentioned above, get up-to-date data za mwaka 2017 utashangaa. Wakati mnapigana kutokana na ukabila, siasa za kijinga zisizokwisha, na corruption iliyokithiri, sisi tunajenga nchi kwa kasi sana, lete data za 2017 kama hutochanganyikiwa.
Wewe uliposema ulikua unatumia data zipi na za mwaka gani?Hebu tuletee hizo up-to-date data tuone.
try to be serious my friendππππJinsi mlivyoshindwa hapa.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
Continue living in denial danganyikans. Hamupendi sansa kusikia ukweli wowote kuhusu chi yenu
We are talking food security, not inflation. These are two different things. Mbona mko na tabia ya kubadilisha topic mkibanwa kwenye corner? Au hiyo pia ni cooked data?ukweli gani wakat tanzania inflation is 4% huku kenya inflation is over 11% sasa hapo kuna ukweli ganiππππ unakua kama sio msomi
mm nafkiri hujui inflation inaletwa na nini ππWe are talking food security, not inflation. These are two different things. Mbona mko na tabia ya kubadilisha topic mkibanwa kwenye corner? Au hiyo pia ni cooked data?
I am not the one who said that. But since you are privy to these up-to-date data, I was just requesting that you give us the links to the sameWewe uliposema ulikua unatumia data zipi na za mwaka gani?
kwa kukusaidia elimu ya bureπππ inflation kenya is high because of hunger, njaa ni ugonjwa mbaya sanaWe are talking food security, not inflation. These are two different things. Mbona mko na tabia ya kubadilisha topic mkibanwa kwenye corner? Au hiyo pia ni cooked data?
Wewe ndiyo hujui unachozungumza, hapa Africa na nchi zinazoendelea kwa ujumla, chakula ndiyo factor kubwa inayosababisha inflation kupanda au kushuka, kama chakula kinapatikana kwa wingi, basi inflation inashuka, kama kuna upungufu wa chakula na bei za vyakula hazidhibitiwi, inflation inaongezeka. Mfano ni hapo Kenya, baada ya serikali kutoa ruzuku katika mahindi ya Mexico, inflation ilishuka kwa kasi sana, sasa hivi inflation inaongezeka kwa sababu serikali imesimamisha kutoa ruzuku.We are talking food security, not inflation. These are two different things. Mbona mko na tabia ya kubadilisha topic mkibanwa kwenye corner? Au hiyo pia ni cooked data?