Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtanzania telling a kenyan kwamba hajui kizungu. lol, kama mnachoandika hapa ndani ndio kizungu acha tu nisijue kizungu
Hata mnachoandika ninyi pia sio kizungu, mnavuruga sana, kwasababu sio lugha yetu wote, hatuna sababu ya kufuatilia lugha isiyotuhusu, ila hamjui kiingereza.
 
[emoji23] [emoji23] nchi ya kimabavu....haya pambaneni na WB
isome article vizuri halafu rejea ile kauli yako/yenyu kuhusu watanzania na kumiliki ardhi ndio utajua hoja ya world bank. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
isome article vizuri halafu rejea ile kauli yako/yenyu kuhusu watanzania na kumiliki ardhi ndio utajua hoja ya world bank. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya tutumie common sense hapa....hapo juu mmetueleza kila mtanzania anamiliki ardhi Tanzania..swali inakua nini inachangia mtu kujengwa kwenye road reserve?
 
Haya tutumie common sense hapa....hapo juu mmetueleza kila mtanzania anamiliki ardhi Tanzania..swali inakua nini inachangia mtu kujengwa kwenye road reserve?
unahakika gani ni road reserve?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…