joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huwezi kupata heshima duniani kama unatoka katika nchi iliyojaa ukabila, rushwa, mauaji ya kiholela, njaa, slums na tofauti kubwa ya matajiri na masikini, utaulizwa nini umefanya ili kusaidia nchi yako yenye matatizo mengi na ya msingi kama hayo.Anajulikana dunia nzima we bongolala ndo himjui
Anajulikana dunia nzima we bongolala ndo himjui
Utamwaga emotions zako zote hapa kama mke anayejifungua lakini facts are factsHuwezi kupata heshima duniani kama unatoka katika nchi iliyojaa ukabila, rushwa, mauaji ya kiholela, njaa, slums na tofauti kubwa ya matajiri na masikini, utaulizwa nini umefanya ili kusaidia nchi yako yenye matatizo mengi na ya msingi kama hayo.
Must be facts from KiberaUtamwaga emotions zako zote hapa kama mke anayejifungua lakini facts are facts
Wacha kumlinganisha Nyerere navitu vyakipumbavuUtamwaga emotions zako zote hapa kama mke anayejifungua lakini facts are facts
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nigga you're freaking joking There is no any figure in your country starting from your Nation founder can match with Nyerere D😀😀😀do you know who wangari maathai is???...nyerere cant even match 1/4 wangari
Si nyerere tu Tanzania yenyewe haijulikani outside AfricaWacha kumlinganisha Nyerere navitu vyakipumbavu
Endelea na mada husika
Maathai: World mourns passing of 'true African heroine' - CNNhii ndio huitwa upuuzi wa mkenya.
dunia nzima ya kenya.
Wewe huyu Bibi hajamfikia Nyerere hata kidogo acha kupoteza bando yako kwa vitu vya Ajabu
Issue yangu haipo kwa kama anampita nyerere nawajibu maboya flani hapo juu wanadai hajulikaniWewe huyu Bibi hajamfikia Nyerere hata kidogo acha kupoteza bando yako kwa vitu vya Ajabu
mm pia nipo serious tupangane kadoda wewe ndio mwenyekiti panga date kabisanaunga mkono hoja ichoboy.binafsi nipo serious na hiyo idea.
Nyerere alishiriki kuupinga ukoloni na utumwa wafikra kama wenu mnaosema mtu bora kwenu ni yule alipewa tuzo ya nobel na wazunguWhat has he done??? Wangari has a Nobel peace prize ....nyerere anayo?
Je alitetea maslai ya wakenya wote au tumbó lake maana Mpaka leo naskia wakenya wanavyolia juu ya umiliki wa ardhi inayomilikiwa na kina kenyatta na wazungu huku maelfu ya wakenya hawana ardhi mpaka jana nmeona video fupi ya watoto wakiishi kwa kunywa maziwa ya mbwaWhat has he done??? Wangari has a Nobel peace prize ....nyerere anayo?