stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 42,319
- 43,219
mbna hujauliza kwann hawajachezea kasarani 🤣🤣🤣 soma jina apasijawahi kutamka kenya ni nchi yangu, usinilishe maneno bro, ila kenya nimevutiwa na mambo yao mengi sana ikiwemo maendeleo yao pia, kama uwanja wa 12k wanaingia mashabili 200 kweli hapa tunahitaj afcon? kwann tunapeleka mechi znz wakat mashabiki wa mpira wako dar? uhuru na mkapa vinashida gani so far???
vitu vingine havihitaj ramli ya mganga bro ni akili ndogo tu wala sio rocket science